Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
MmmmhYeye alikuwa mahakamani Afrika Kusini kubadilisha hati miliki ya nyumba za Don ili ajitangaze mtandaoni kuwa ni zake alipewa na jamaa.
Kule walienda wenye pesa tu.Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Kaumbeya kwa mbaaali nakaona.Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Ni kweli alitakiwa aende Lakini kwa mazingira Yale na wale marich gang bora hakuenda hata mimi Dai angekuwa ndugu yangu nigemshauri asiende.Ila akumbuke tu! ni uhai ndo umefanya apige hizo show, ilikuwa ni mhimu sana kwenda angalau kuwatia moyo wale watoto wa ivan, kwani hata watoto wake wote wametoka kwenye njia moja waliyotoka watoto wa ivan
kwamba angepigwa ama angehaibika kwa mipesa iliyomwagwa pale?Ni kweli alitakiwa aende Lakini kwa mazingira Yale na wale marich gang bora hakuenda hata mimi Dai angekuwa ndugu yangu nigemshauri asiende.
Hapo umenoaEx boyfrend wa demu wako akifa utaenda...?? Tena aliyemzalisha watoto na kumtoa bikra..
Km huwez jua diamond nae hana umuhimu wa kwenda..
Matapishihuyu mtoto wa pili anafanana na mtoto wa diamond wa 2 mnasemaje wazee ukute diamond na zari ni drama tu wapige pesa