Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mgovi wake tena?...akavaliwa na mzimu wa mgovi wake...
Mwakilishi wake yupo ambae ni Zari ovaSijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Duh Diamond a. K. A Dushelele boySijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Kumbuka marehemu alikuwa hapendi Zari, achukuliwe na MTU mwingine. Huo tayari ulikuwa ni ugomvi. Wanaume wawili, au wanawake wawili, wanaposhindania kumpata mwanamke mmoja, huitwa "Rivals". ( wanaogombea)au wagomvi. Hivyo, kwa mila nyingi za kiafrika, akifa, rival wake hapaswi kwenda mazikoni. Hata akiugua kufikia kulazwa, ukienda kumwangalia, utasababisha mauti yampate huyo aliyelazwa. Upon hapo?mgovi wake tena?
Uliandika mgovi na sio mgomvi, ndio maana nikapigwa na butwaa.Kumbuka marehemu alikuwa hapendi Zari, achukuliwe na MTU mwingine. Huo tayari ulikuwa ni ugomvi. Wanaume wawili, au wanawake wawili, wanaposhindania kumpata mwanamke mmoja, huitwa "Rivals". ( wanaogombea)au wagomvi. Hivyo, kwa mila nyingi za kiafrika, akifa, rival wake hapaswi kwenda mazikoni. Hata akiugua kufikia kulazwa, ukienda kumwangalia, utasababisha mauti yampate huyo aliyelazwa. Upon hapo?
Ah, kaka, simu hizi zinazingua sana, unaadika neno unakuta linageuka .Uliandika mgovi na sio mgomvi, ndio maana nikapigwa na butwaa.
Wamechangia mama mkuuhuyu mtoto wa pili anafanana na mtoto wa diamond wa 2 mnasemaje wazee ukute diamond na zari ni drama tu wapige pesa
Lizaboni ndo unamwambia ataachwa na Mme??Mpaka huu msiba uishe wengi wenu mtakuwa mmeachwa na waume zenu maana hata mapishi sasa hayapikiki mko busy kufuatilia msiba nchi jiran
Sa kama hufatilii mambo ya watu umejuaje watu wanafatilia msiba? Mbona upo kwenye kila thread ya zari?Niombee radhi mkuu, sikufahamu kama ni ME.
Samahani ME wa Dar kwa sababu sisi wa mikoani hatunaga hayo mambo ya kufuatilia mambo ya watu.
Kwani kilichokupeleka huko ni kwenda kumwangalia chibuu au kuzika? Sifa za kijingaSijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
Uwakilishi wa Tanzania unaambiwa huyo alokufa ni Waziri au Rais?!Kulikuwa na haja ya uwepo wa Diamond Uganda kwa sababu hizi mbili
1.Ivan ni mme mwenza
2.Uwakilishi wa Tanzania katika mazishi.