Sikumuona Diamond huko Uganda kwenye mazishi, au macho yangu?

Sikumuona Diamond huko Uganda kwenye mazishi, au macho yangu?

daaahh hata ingekua mm ningepata ugumu sana kufika hapo kwnye msiba.......ingawa moyon ningekua nahtaj sana kwenda
 
Ni vizuri hajaenda kwa kweli, amempa muda Zari wa kupitia magumu na wanawe kwa ukaribu.
 
Alikuwa anafrahia sehemu maana jamaa si alikuwa an update so no competition
 
mgovi wake tena?
Kumbuka marehemu alikuwa hapendi Zari, achukuliwe na MTU mwingine. Huo tayari ulikuwa ni ugomvi. Wanaume wawili, au wanawake wawili, wanaposhindania kumpata mwanamke mmoja, huitwa "Rivals". ( wanaogombea)au wagomvi. Hivyo, kwa mila nyingi za kiafrika, akifa, rival wake hapaswi kwenda mazikoni. Hata akiugua kufikia kulazwa, ukienda kumwangalia, utasababisha mauti yampate huyo aliyelazwa. Upon hapo?
 
Uliandika mgovi na sio mgomvi, ndio maana nikapigwa na butwaa.
 
Kulikuwa na haja ya uwepo wa Diamond Uganda kwa sababu hizi mbili
1.Ivan ni mme mwenza
2.Uwakilishi wa Tanzania katika mazishi.
 
Niombee radhi mkuu, sikufahamu kama ni ME.
Samahani ME wa Dar kwa sababu sisi wa mikoani hatunaga hayo mambo ya kufuatilia mambo ya watu.
Sa kama hufatilii mambo ya watu umejuaje watu wanafatilia msiba? Mbona upo kwenye kila thread ya zari?
 
Kulikuwa na haja ya uwepo wa Diamond Uganda kwa sababu hizi mbili
1.Ivan ni mme mwenza
2.Uwakilishi wa Tanzania katika mazishi.
Uwakilishi wa Tanzania unaambiwa huyo alokufa ni Waziri au Rais?!
Ukoo mzima wa kina Ivan hawamtaki Diamond,halafu jana angeenda pale ingekuwaje?!hawakupendana wakiwa hai leo hii Chibu ajitie unafiki wa kwenda?!bora hajaenda,amefanya vizuri sana
 
Back
Top Bottom