Sikumuona Diamond huko Uganda kwenye mazishi, au macho yangu?

Ila akumbuke tu! ni uhai ndo umefanya apige hizo show, ilikuwa ni mhimu sana kwenda angalau kuwatia moyo wale watoto wa ivan, kwani hata watoto wake wote wametoka kwenye njia moja waliyotoka watoto wa ivan
 
Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?

Yeye alikuwa mahakamani Afrika Kusini kubadilisha hati miliki ya nyumba za Don ili ajitangaze mtandaoni kuwa ni zake alipewa na jamaa.
 
Ila akumbuke tu! ni uhai ndo umefanya apige hizo show, ilikuwa ni mhimu sana kwenda angalau kuwatia moyo wale watoto wa ivan, kwani hata watoto wake wote wametoka kwenye njia moja waliyotoka watoto wa ivan
Ni kweli alitakiwa aende Lakini kwa mazingira Yale na wale marich gang bora hakuenda hata mimi Dai angekuwa ndugu yangu nigemshauri asiende.
 
Ex boyfrend wa demu wako akifa utaenda...?? Tena aliyemzalisha watoto na kumtoa bikra..
Km huwez jua diamond nae hana umuhimu wa kwenda..
 
Ni kweli alitakiwa aende Lakini kwa mazingira Yale na wale marich gang bora hakuenda hata mimi Dai angekuwa ndugu yangu nigemshauri asiende.
kwamba angepigwa ama angehaibika kwa mipesa iliyomwagwa pale?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…