OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Watara anafanya nini pale mikianiView attachment 2396499
Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda.
Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu ndiye TK Master?
Inatia simanzi sana kuona pamoja na yote hayo badala yake amekuwa mtu wa mbio tu kama Linesman.
Katika mechi alizocheza sijaona cha maana zaidi ya mbio tu mpaka anapitiliza.
Wabongo tupunguze shobo na wachezaji wa nje. Kinyume na hapo tunaenda kuwa dampo la wachezaji
Wamemuacha jembe la maana Kambole wamemchukua huyu mpaka bleach.
Na wasipompiga mwarabu goli tatu hapa...Wanaenda kufa goli sabaWazee wa Drooo hoyeeee
Hahahaha mwamba sana yule ni fitina tu ila chuma kipo salama kabisaKambole Ni Majeruhi Wewe Bwege.
Wanakufa ndani nje hyo mkuuNa wasipompiga mwarabu goli tatu hapa...Wanaenda kufa goli saba
Hamjamfanyia shipping kumuuza timu nyingine?Kambole Ni Majeruhi Wewe Bwege.
Nakukumbusha tu hata Chama alienda kisha akarudi pale Msimbazi! Kisinda sio wa kwanza wala wa mwisho!!Hakuna kitu kibaya kama mchezaji anaondoka halafu anakuja tena mnapokea team yoyote malengo ni kwenda mbele sio kuangalia nyuma hata kama mchezaji mzuri akiondoka move on tufanye kama Dear X to ya Mario
Una jengine au umeshamaliza?View attachment 2396499
Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda.
Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu ndiye TK Master?
Inatia simanzi sana kuona pamoja na yote hayo badala yake amekuwa mtu wa mbio tu kama Linesman.
Katika mechi alizocheza sijaona cha maana zaidi ya mbio tu mpaka anapitiliza.
Wabongo tupunguze shobo na wachezaji wa nje. Kinyume na hapo tunaenda kuwa dampo la wachezaji
Kurudi kwa Chama imelipa sana,je huyo swala toka mumrudishe ameisaidia nini Yanga?Nakukumbusha tu hata Chama alienda kisha akarudi pale Msimbazi! Kisinda sio wa kwanza wala wa mwisho!!
Kwa hiyo bora wangesajili swala haaa haaaKurudi kwa Chama imelipa sana,je huyo swala toka mumrudishe ameisaidia nini Yanga?
Kwa hiyo bora wangesajili swala haaa haaa