Sikuona tofauti ya Linesman na Tuisila Kisinda

Wamemuacha jembe la maana Kambole wamemchukua huyu mpaka bleach.
Kambole yuko avic hajaachwa
Kuna picha inatembea sana mitandaoni alikuwepo wakati wanamuaga daktari wao wa timu
 
Attachments

  • D9BADF46-801D-44E2-B8FE-E9464DE9BEE1.jpeg
    D9BADF46-801D-44E2-B8FE-E9464DE9BEE1.jpeg
    92.4 KB · Views: 2
Nakukumbusha tu hata Chama alienda kisha akarudi pale Msimbazi! Kisinda sio wa kwanza wala wa mwisho!!
Sijaongelea Yanga wala Simba nimesema ni vizuri mtu akiondoka kaondoka move on kama dear X iwe Simba, Yanga sijui Azam na wengine unless kama team ndogo watu wanakuja ku retire sawa.
 
Sasa we ulitegemea nini ofsa?

Management ya Yanga inafanya usajili kulingana na namna wachambuzi wanazi wa Yanga wanavyo sema

Walivyosikia Azizi Ki akipewa sifa kuwa ana mikimbio mizuri wakapata wazo, kama huyu Azizi Ki anaonekana mzuri kwasbabu ya mikimbio, vipi tukimsajili Tuisila hali itakuwaje?

Yanga wamemuweka bench Farid Mussa ambaye ni bonge la player, eti unamuanzisha Moloko na Tuisila

Ndo maana watu wanasema labda kwasababu Farid Mussa hapaki bleach kichwani na ndio maana anatengwa.

Siku atayopaka bleach na kunyoa kiduku basi lazima aanze kikosi cha kwanza
Moloko na Kisinda kwa hapa kwetu Tanzania tuna wachezaji wengi tu ambao wanazidi kwa mbali sana hao jamaa wawili!
 
View attachment 2396499

Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda.

Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu ndiye TK Master?

Inatia simanzi sana kuona pamoja na yote hayo badala yake amekuwa mtu wa mbio tu kama Linesman.

Katika mechi alizocheza sijaona cha maana zaidi ya mbio tu mpaka anapitiliza.

Wabongo tupunguze shobo na wachezaji wa nje. Kinyume na hapo tunaenda kuwa dampo la wachezaji
Hakuwahi kuwa na faida toka akanyage bongo....
 
Mbona kama mkorogo umedunda. Berkane wamemkataa
 
Okwa
Outara
Banda
Ndo unaona usajili makini
Iv nyie makolo nani kawaloga
 
Sasa we ulitegemea nini ofsa?

Management ya Yanga inafanya usajili kulingana na namna wachambuzi wanazi wa Yanga wanavyo sema

Walivyosikia Azizi Ki akipewa sifa kuwa ana mikimbio mizuri wakapata wazo, kama huyu Azizi Ki anaonekana mzuri kwasbabu ya mikimbio, vipi tukimsajili Tuisila hali itakuwaje?

Yanga wamemuweka bench Farid Mussa ambaye ni bonge la player, eti unamuanzisha Moloko na Tuisila

Ndo maana watu wanasema labda kwasababu Farid Mussa hapaki bleach kichwani na ndio maana anatengwa.

Siku atayopaka bleach na kunyoa kiduku basi lazima aanze kikosi cha kwanza
Siku okwa akianza kikosi cha kwanza na farid nae ataanza
 
Ko Nabi ndo basi tena 😆😆😆 Ile taarifa hivi uliokota wapi?
 
Tuisila Kisinda namuona kama swala tu anachoweza ni kukimbia tu. Masikini Kambole kageuzwa msukule kumpisha huyu Kinyambe.
 
View attachment 2396499

Tukiweka ushabiki pembeni kuna mambo ya kuionea huruma sana Yanga. Moja kati ya hayo ni usajili wa Tuisila Kisinda.

Nakukumbusha tu kwamba huyu ndiyo mchezaji aliyewalipisha faini Yanga huko CAF ili atumike kimataifa. Huyu ndiyo yule aliyeifanya TFF iingie kwenye aibu kuhusu usajili wake. Huyu ndiye TK Master?

Inatia simanzi sana kuona pamoja na yote hayo badala yake amekuwa mtu wa mbio tu kama Linesman.

Katika mechi alizocheza sijaona cha maana zaidi ya mbio tu mpaka anapitiliza.

Wabongo tupunguze shobo na wachezaji wa nje. Kinyume na hapo tunaenda kuwa dampo la wachezaji
Nelson Okwah, Victor Akpan, Ouwatara,................!!!!!!
 
Back
Top Bottom