sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
View: https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.
Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.
Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe.
Watu wanasema anapromoti album yake lakini nawaambia mjini kuna mengi.
Rayvanny ana pesa sana nafikiri top 3 ya wasanii wenye hela hapa bongo piga ua umkosi japo hana kelele ikifika kwenye neema zake ni anaeficha sana rizki zake.
Niende kwenye point ya msingi Rayvanny na Mwamposa awajakutana barabarani.
Mjini kuna mengi na biashara ni nyingi pia. 🐴🐴🐴🐴🐴🐴🐴