Sikushangaa kumuona Rayvanny kwenye jukwaa la Mwamposa. Mjini kuna mengi

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

View: https://www.instagram.com/reel/DDik26boAQ2/?igsh=aTVva3FldHozbmRw
Najua wengine mnashangaa Rayvanny na Mwamposa wapi na wapi.

Rayvanny ametoa album na kuna wimbo yupo na Mwamposa.

Usiku alikuwa kwenye ibada ya Mwamposa na akapanda jukwaani akapewa na maiki aimbe.

Watu wanasema anapromoti album yake lakini nawaambia mjini kuna mengi.

Rayvanny ana pesa sana nafikiri top 3 ya wasanii wenye hela hapa bongo piga ua umkosi japo hana kelele ikifika kwenye neema zake ni anaeficha sana rizki zake.

Niende kwenye point ya msingi Rayvanny na Mwamposa awajakutana barabarani.

Mjini kuna mengi na biashara ni nyingi pia. 🐴🐴🐴🐴🐴🐴🐴
 
Ataacha kuimba zile nyimbo zenye maudhui ya uzinzi na uasherati? Au ameombewa ili akaimbe zaidi?
 
Hao wote ni wanyakyusa wa mbeya so wanabebana kitu ambacho si kibaya.
 
Hao ni ndugu wakina mwaisa huoni hadi tulia akson na rayvan wanavyoongeaga unyakyusa mwingi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ila hivi ni vituko aisee.

Kweli mjini kuna mengi aisee.
 
Eti Rayvan ana pesa namba tatu kwa wasanii,,wabongo hamna akili!!
 
Punda wa Mwamposa, drug pusha na drug dealer
 
Mimi ni mgeni humu punda inamaana gani samahaniniπŸ˜€
 
Naye ni binadamu lazima autagute ufalme wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…