Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
HakikaHongera kwa kupewa msaada. Na wewe siku ukimkuta Mtu anahitaji msaada toa pasipo kujali chochote.
Mkuu niliisogeza pembeni njia ikawa inapitika sikuziba njia.Yan hapo ww ndio zuzu...gari imezima kakikati ya barabara na ukaziba njia ulitegemea arudi alipotoka...
Ooh fanya kuedit pale juu..Mkuu niliisogeza pembeni njia ikawa inapitika sikuziba njia.
Hongera Kwa boosterHeshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Halafu story za Mzee Mgaya kama vile hazileti sana huyu Yohana Mbatizaji. Wamezinguana?Angekuwa ndiyo yule mlezi wa uvccm ndugu johnthebaptist, aka Mzee Mgaya, angepita zake tu! Kama haoni vile!
Vipi ulifanikiwa hata kumsalimia,?Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Hakuna kiongozi yeyote yule kutoka ccm anayeweza kupoteza muda wake kufanya jambo kama hilo. Hawa watu wanajiona kama vile wako tofauti na sisi.Siku ikikuzimikia road ukamuona Mwigulu simamisha uombe msaada Ni mtu poa sana
Ni kweli Mwigulu ni mtu poa naye?Siku ikikuzimikia road ukamuona Mwigulu simamisha uombe msaada Ni mtu poa sana
Usiogope ving'ora simamisha TU mkuu...uombe msaadaNi kweli Mwigulu ni mtu poa naye?
Yani dogo johnthebaptist mahaba kwa mzee mgaya yalizid. Hadi chupi yenye picha ya mzee mgaya alivaa.Halafu story za Mzee Mgaya kama vile hazileti sana huyu Yohana Mbatizaji. Wamezinguana?