Kama otaneta ina shida gari inaweza kuzima ikiendeshwa. Punguza ujuajiAu siyo? Kwamba ulikua unaendesha gar alaf gari ikazima kwasababu ya betri
Nahisi wewe pekee utakuwa sahihi zaidiAlijua tu utakuja kumchoresha JF akaona aepushe shari mapema
Mkuuu usibishee amini tu kuwa hujakutana na hizo shida kwa automatic car ambazo mfumo wake mzima wa mwendo unahitaji umeme.Maana yake kama betri imekufa kabisa hata baada ya kuboost isingefanya kazi. Labda atuambie alipaki mahali wakati wa kuondoka ndio ikagoma kuwaka.
Chama chawala wangeita na waandishi wa habariHeshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Hata kama ikiwa ni mwanachama wa chama kisicho chako aHongera kwa kupewa msaada. Na wewe siku ukimkuta Mtu anahitaji msaada toa pasipo kujali chochote.
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Story tu hizoMkuuu usibishee amini tu kuwa hujakutana na hizo shida kwa automatic car ambazo mfumo wake mzima wa mwendo unahitaji umeme.
Kwa scenario yake ts very possible gari kuzima kwa shida ya betri kutokuwa na chaji ya kutosha....kwa kuwa ilikuwa ni usiku means taa zilikuwa ON,na betri ilikuwa na moto mdogo na hapo hapo its possible altenator haikuwa inachaji betri kwa automatic car lazima izimee ...na ukaiboost ikawaka ukeendesha kwa taahadhari na si kwa mwendo mrefu maana lazima ingezima tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Ts true inaweza kuwa story ya kutungaa lakini kiuhalisia hilo tukio la gari kuzima sabbu ya betri na altenator kutofanya kazi ni possible case.Story tu hizo
Punguza ujingaKama otaneta ina shida gari inaweza kuzima ikiendeshwa. Punguza ujuaji
Najua umejiona punguani. Utakuwa unaendesha gari ya mama yako wewe ndio maana hujui vingiPunguza ujinga
HowKama otaneta ina shida gari inaweza kuzima ikiendeshwa. Punguza ujuaji