Sikutegemea kama Freeman Mbowe ana ubinadamu kiasi hiki!

Heshima kwenu wakuu,

Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.

Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.

Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.

Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Mbowe anafanya dhamira yake inachokiamini, siyto kama akima Bashiru na magufuli ambao wanataka madaraka
 
Wewe ni wa ufipa umekuja kumsifia mbowe hapa. Gari ikiwa inatembea inazimaje betri? Alafu unaboost betri inawaka? Hapo tatizo halikua betri. Hii story yako ni uongo mtupu
 
Huyo ndugu hana shida ila shida ipo hapi kwenye kiti
JamiiForums1688563994.jpg
JamiiForums2014172087.jpg
 
Heshima kwenu wakuu,

Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.

Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.

Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.

Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Mboye sio hawa wakata Umeme ,na wakopajii ,wakata maji na kutoa ahadi za uongoooo

is the real maana asiye na shida ndogondogo aliyezaliwa kwenye hela freeman MBOYE
 
Heshima kwenu wakuu,

Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.

Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.

Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.

Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Mbowe ni raia tuu wa kawaida ndo maana unakuta anaswekwa mahabusu, anashtakiwa na anaishi kawaida tuu. Labda wewe ukiwa mwenyekiti ndo utakuwa unajifichaficha.
Hashim Rungwe nilishakutana nae kawaida tuu.
Maalim Seif pia tulikuwa tunapiga nae ghah-wa sana tuu.
 
Mbowe ni mstaarabu sana na ana utu. Mwaka 1998 akiwa sio mbunge nilishuhudia mwananchi huko Machame akisimamisha gari la Mbowe kisha kumwomba msaada wa binti yake anaenda form one boarding. Mbowe akachomoa Tsh 70,000/= na kumkabidhi yule mama. Ilitosha kila kitu cha shule kwa muhula wa kwanza. Pia ana akili mno. Kuweza kumiliki chama kwa miaka mingi sio jambo la mzaha hata kama alirithishwa.
 
Ana miliki chama kwa miaka mingi! Hongera cdm kumilikiwa na mbowe kwa miaka mingi.
 
Gari inatembea then inazima na tatizo ni betri, unabost na kuendelea na safari hiyo sio kweli kabisa. Mbowe kwa aliyopitia hawezi kukosa ubanadamu hongera kwake.
Inawezekana kwa namna nyingi.
Huenda otoneta haichaji betri na yeye kwa vile anapita rough road huenda alipunguza kubalace mafuta gari ikazima....kutokana na beyri kutochajiwa na otoneta haikuweza kuwa hadi msaada wa ku boost
 
Heshima kwenu wakuu,

Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.

Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.

Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.

Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Gari za M4C ni zako na waliomo ndani ya gari ni watumishi wako, karibu.
 
Au siyo? Kwamba ulikua unaendesha gar alaf gari ikazima kwasababu ya betri
Kuna mafala hapa wameshaanza kumsifu mzee wa new culture 🤣🤣

Jomba hajui kuwa betri ya gari haiwezi kusababisha gari lizimike ghafla mamaee aache uongo
 
Heshima kwenu wakuu,

Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.

Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.

Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.

Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Haya Sasa nenda haraka sana kachukuwe kadi yako ya uwanachama pale Ufipa!!
 
Safi sana.
 
Gari inatembea then inazima na tatizo ni betri, unabost na kuendelea na safari hiyo sio kweli kabisa. Mbowe kwa aliyopitia hawezi kukosa ubanadamu hongera kwake.
Maana yake kama betri imekufa kabisa hata baada ya kuboost isingefanya kazi. Labda atuambie alipaki mahali wakati wa kuondoka ndio ikagoma kuwaka.
 
Back
Top Bottom