Mbowe anafanya dhamira yake inachokiamini, siyto kama akima Bashiru na magufuli ambao wanataka madarakaHeshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Mboye sio hawa wakata Umeme ,na wakopajii ,wakata maji na kutoa ahadi za uongooooHeshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Mbowe ni raia tuu wa kawaida ndo maana unakuta anaswekwa mahabusu, anashtakiwa na anaishi kawaida tuu. Labda wewe ukiwa mwenyekiti ndo utakuwa unajifichaficha.Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Ana miliki chama kwa miaka mingi! Hongera cdm kumilikiwa na mbowe kwa miaka mingi.Mbowe ni mstaarabu sana na ana utu. Mwaka 1998 akiwa sio mbunge nilishuhudia mwananchi huko Machame akisimamisha gari la Mbowe kisha kumwomba msaada wa binti yake anaenda form one boarding. Mbowe akachomoa Tsh 70,000/= na kumkabidhi yule mama. Ilitosha kila kitu cha shule kwa muhula wa kwanza. Pia ana akili mno. Kuweza kumiliki chama kwa miaka mingi sio jambo la mzaha hata kama alirithishwa.
Bado Mbowe ni Kiongozi sahihi kwenye hizi nyakati za mwisho wa uhai wa CHADEMA
BADO MBOWE NI KIONGOZI SAHIHI KWENYE HIZI NYAKATI ZA MWISHO WA UHAI WA CHADEMA. Najua mtashangaa sana kwa huu uzi wa leo. Ni kwamba kama akili kubwa nimeona niliweke hili suala la uenyekiti wa Mbowe. Kuna wanaoona ni sahihi yeye kuendelea kuwa mwenyekiti kwa maisha ya CHADEMA yaliyobakia na...www.jamiiforums.com
Inawezekana kwa namna nyingi.Gari inatembea then inazima na tatizo ni betri, unabost na kuendelea na safari hiyo sio kweli kabisa. Mbowe kwa aliyopitia hawezi kukosa ubanadamu hongera kwake.
Gari za M4C ni zako na waliomo ndani ya gari ni watumishi wako, karibu.Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Ila hao waliojazana na familia zao CCM unaona ni sawa tu, umerogwa ndiyo maana nchi imedumaa kama Mangula.Ana miliki chama kwa miaka mingi! Hongera cdm kumilikiwa na mbowe kwa miaka mingi.
Mkuu picha ya mama kibonge tafadhariYani dogo johnthebaptist mahaba kwa mzee mgaya yalizid. Hadi chupi yenye picha ya mzee mgaya alivaa.
Ila dah mama kibonge Salome mgaya mkwepa kodi lile tako.
Kuna mafala hapa wameshaanza kumsifu mzee wa new culture 🤣🤣Au siyo? Kwamba ulikua unaendesha gar alaf gari ikazima kwasababu ya betri
Mbona ya shujaa Majaliwa ulikubali haraharaka, acha hizo.Kuna mafala hapa wameshaanza kumsifu mzee wa new culture 🤣🤣
Jomba hajui kuwa betri ya gari haiwezi kusababisha gari lizimike ghafla mamaee aache uongo
Haya Sasa nenda haraka sana kachukuwe kadi yako ya uwanachama pale Ufipa!!Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Ulikubali mwenyewe sio mm.Mbona ya shujaa Majaliwa ulikubali haraharaka, acha hizo.
Kumbe huyu anayejiita Yohana mbatizaji ndiye mzee Mgaya?Angekuwa ndiyo yule mlezi wa uvccm ndugu johnthebaptist, aka Mzee Mgaya, angepita zake tu! Kama haoni vile!
Safi sana.Heshima kwenu wakuu,
Sikutegemea kama Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) anautu na ubinadamu sana aisee.
Iko hivi jana nilikua nadrive mikocheni rough road mida ya saa 1 jioni hivi gari ikazima katikati ya road ikazuia njia kucheki betri ilikua na shida ghafla nyuma ikawa inakuja pick up ya M4C ikasimama, nikamcheki dereva nikamuomba ni boost betri akakubali.
Kucheki pembeni amekaa Freeman Mbowe akamwambia dereva mpe msaada kijana dereva akashuka tukafanya manuva tukaiboost ikawaka fresh tulitumia kama dakika 7 hivi.
Binafsi nikajiuliza kiongozi mkubwa kama Mbowe kuvumilia kiasi hivi na kunipa msaada hali kuwa inawezekana alikua na ratiba zake lakini akatumia ubinadamu kiasi hiki nilijiuliza mambo mengi mno kichwani na binafsi kuna kitu nilijifunza kwenye maisha.
Maana yake kama betri imekufa kabisa hata baada ya kuboost isingefanya kazi. Labda atuambie alipaki mahali wakati wa kuondoka ndio ikagoma kuwaka.Gari inatembea then inazima na tatizo ni betri, unabost na kuendelea na safari hiyo sio kweli kabisa. Mbowe kwa aliyopitia hawezi kukosa ubanadamu hongera kwake.