safari ni ndefu na magonjwa yapo mengi yenye kutisha ila ukimwi umechukua chati kwa kuogopesha jamani,hii kitu ni hatari.mungu ni mwema always...tuzidi tu kuombeana bado safari ndefu my dear
yaani Smile nilipopata jibu la Dr ilibidi kwanza nimwambie na baba watoto hali halisi
Ila ndo maana nasema kweli mungu ashukuliwe siku zote
Bana @Visent mi sirudii tena maana kwanza nilipima ikiwa zaidi ya miezi mitatu ishapita,naamini kuwa Yesu kanipigania.Queenkami, hili ni somo zuri sana kwa jamii! ila rudia kupima kila miezi mitatu, ili kuwa na uhakika.
Hivi wanapimia wapi?
Siwezi pima labda niko kwenye machela, na huu u-stiker wa Drogba?
Pimeni tu nyie lol
Duh qeen umenikumbusha riwaya moja hivi niliwahi ipitia ikiitwa the secret,..ujumbe wake mkubwa ulikuwa ni
"Your wish is my command" ikiwa ni mawasiliano kati ya nafsi zetu na almighty...by mentioning hivyo virusi kila mara mawazoni mwako nafsi yako inafanya hali hiyo iwe as a wish from you(by keep saying nitakuwa nimepata vizusi), then something from above the nature inacommand iwe kama nafsi itakavyo
mimi nilipima na aliekuwa mpenzi wangu kwa kulazimishwa sana..even tho alinitosa ila huwa naona aliniokoa kwa mengi ....Hivi wanapimia wapi?
Siwezi pima labda niko kwenye machela, na huu u-stiker wa Drogba?
Pimeni tu nyie lol
fazaa kwani unajuaje kama hajapima zaidi ya mara tatu?Bado unatakiwa ukapime sio sehemu moja tu, kuna vipimo vingine sio vya kuviamini sana.
king´asti hapo pekundu panaonesha kabisa kuwa hujaamini nilichosema.Ngozi yako ni laini kuliko ya mtoto mchanga. Yaani kucha inamuuma na ina usaha, akakukandamiza hadi ukachanika ngozi na kufikia kukutoa damu? Ukipata mwenza inabidi uhakikishe unamfanyia manicure mwenyewe kama sehemu ya maandalizi ya wikiend.
Somo zuri, pole sana kwa hofu hizi. Ngoja na mie nikapime manake sijapima kama mwaka sasa! Usimnyanyapae mama mkubwa, anahitaji upendo wenu.
@fazaa unapenda kucritisize kila kitu ...huwa unajiona upo salama saaana na umebarikiwa kuliko watu wote kwenye mapenzi..gud for uBado unatakiwa ukapime sio sehemu moja tu, kuna vipimo vingine sio vya kuviamini sana.
kweli inahitajika ujasiri my dear sio rahisi hata kidogo ...but nakuombea kwa mungu upime... utaokoa mambo mengi...fear ni kitu kibaya sanaduuuh! pole sana na Hongera kwa kuamua kupima,
nami naomba MUNGU anipe ujasiri siku moja nikapime nijue afya yangu.
FirstLady1 somo thread yake vizuri, yeye kapima mara moja tu :biggrin1:fazaa kwani unajuaje kama hajapima zaidi ya mara tatu?