Kalunguine
JF-Expert Member
- Jul 27, 2010
- 2,543
- 134
Asante Lizzy.
umeongea kama mama yangu alivyoongea,
nilijaribu sana kumshawishi kuwa ni bahati mbaya lakini haamini.
fazaa sasa hicho kidude chenye kucheka kinamaanisha kuwa umefurahia sababu nimepima mara moja hivyo ninaweza kuwa nina ukimwi au kinamaanisha unafurahia nini mkuu?FirstLady1 somo thread yake vizuri, yeye kapima mara moja tu :biggrin1:
Jf wanyanyapa ni wengi sana!sijaona comment yoyote inaotia moyo wa athrika wa ukimwi nyienyie ndio wataalam wa jukwaa la MMU.takwimwi za mzumbe last year kati ya madent 3000 na ushee wanafunzi zaid ya 200 wameshapigwa danger.
kwa iyo wale ambao tumepima tukakutwa tumeathirika Mungu hatupendi na sio mwema kwetu..si ndio!!
in this life jaribu kujifunza kwamba kila kitu kinatokeakwa sababu ambazo wewe au mimi hatuzifahamu.......hakuna mtu asiependa uhai wake;wewe ulienusurika kuambukizwa haimaanishi ndio mwisho wa kutoambukizwa.........utaishi utasahu na litatokea lingine tofauti na hilo n aukajikuta upo positive......mshukuru Mungu kwa kila jambo.
watu wenye upeo na uelewa wa mambo kama wewe hatutegemei kuanza stigma na kujiona ndio bora kuliko hao walio positive....
ujumbe wangu:
hata walioathirika walikua Negative kama wewe!
hongera kwa kua negative...hata ukikutwa positive miaka 6 ijayo....umshukuru Mungu pia.. na maisha yaendelee!!
kapime
asante mkuu ubarikiwe.Duh! Pole kwa mateso na msongo wa mawazo!
mtoto umenisitua
Ukimwi & cancer.........haya magonjwa yanatisha jamani!!
BTW; hofu ni mbaya jamani, unaweza jikuta unaugua kitu ambacho hata hukukitegemea
Pole queenkami!
kapime
Duh! Pole kwa mateso na msongo wa mawazo!
mtoto umenisitua
Ukimwi & cancer.........haya magonjwa yanatisha jamani!!
BTW; hofu ni mbaya jamani, unaweza jikuta unaugua kitu ambacho hata hukukitegemea
Pole queenkami!
story yako na mimi imeshanikuta.mwanamme wangu wa kwanza,baada ya muda tukaachana.jamaa mwenyewe alikuwa hajatulia.baada ya kuachana,kuna mtu alimuona akaniambia amepungua,mimi moja kwa moja nikachukulia ameathirika,hata kumuona sikumuona.na mimi nikasema kimoyo moyo ninao,nikawa sina raha,na nikawa naumwa mara kwa mara kwa ile hofu tu.nikasema mbona sina bahati,mwanamme wangu wa kwanza katika maisha yangu amenipa huu ugonjwa.siku niliojikokota kwenda kupinda,niliharisha hatari.wakati nasubiri majibu,nilijua tayari majibu ni positive.sikuamini nilivyoambiwa ni negative,magonjwa yote yaliisha,it was 12 years ago.nchi niliyokuwepo nilifanya full medical check up again,kila kitu ok.ila somo nililopata i really respect mtu ambae ni hiv positive,stress za mwanzo mwanzo hizo wanazozipitia,mimi nimeshazipitia.na tatizo la huu ugonjwa,upate support maana kuna wengine wanakuhesabia kabisa miaka,na wanakuambia pole mbele yako,ila pembeni story huwa ni tofauti
kwakweli nimepata funzo hapa.
ktk hali hiyo kuna uwezekano wa kutoambukizwa.Aisee ni vigumu sana kuamini kama ni bahati mbaya.Maana angekuwa hakukusudia basi asingekuumiza kwa kiasi kikubwa,angalau angekukwangua juu juu tu kutokana na nguvu kutumika kidogo.Mimi nilishashuhudia mtu ameng'atwa **** mpaka damu kuchuruzika na mgonjwa wa HIV hivi hivi.Pole sana,Mungu amekuepusha!
Aisee ni vigumu sana kuamini kama ni bahati mbaya.Maana angekuwa hakukusudia basi asingekuumiza kwa kiasi kikubwa,angalau angekukwangua juu juu tu kutokana na nguvu kutumika kidogo.Mimi nilishashuhudia mtu ameng'atwa **** mpaka damu kuchuruzika na mgonjwa wa HIV hivi hivi.Pole sana,Mungu amekuepusha!
queenkami nimefurahi sababu umetoka mzima, si unajua navyo kupenda.
quuenkami Sasa ulitaka mimi nilie sababu umetoka mzima? Afu kumbe nikicheka unakasirika, basi wacha kuanzia leo nikiwa najibu thread zako niwe nalia :A S cry:kweli nimeamini zipo aina nyingi za kuonesha kuwa unampenda mtu mkuu fazaa.
Yaani umesisitiza nipime mara tatu ikiwa unamaanisha kuwa kipimo cha kwanza kinaweza kuwa kimekosea.
Mi ulivyocheka mwenzio nilidhani unanikejeli kumbe unaonesha jinsi unavyonipenda LOL.
Halafu mi nilidhani kudhani mtu anaweza kuwa kawa kaathirika ni jambo la huzuni kumbe wengine lina wachekesha.
Napenda kukuhakikishia kuwa queenkami is HIV NEGATIVE.
@ mtoa mada kuna kitu kinaitwa "PEP", Unakifahamu?
fazaa kila jambo lina mahala pake.quuenkami Sasa ulitaka mimi nilie sababu umetoka mzima? Afu kumbe nikicheka unakasirika, basi wacha kuanzia leo nikiwa najibu thread zako niwe nalia :A S cry:
Mkuu wangu funguo kwanza kabisa kama kweli umeathirika nashukuru maana unajua kuwa kuwa kuwa na HIV sio mwisho wa maisha,na hiyo ni spirit nzuri na Mungu azidi kukupigania,sikupi pole maana nitakua kama nakuvunja moyo na kukufanya ujisikie vibaya.
Ila mkuu nimejifunza kuwa hapa JF mtu akiamua kupinga chochote ulichoandika hatakosa cha kukosoa na kukupinga,kama wewe,hapo kati unaniambia TUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO,kule juu nimemshukuru Mungu kwa kuniepusha na balaa kwa kusema Mungu ni mwema kwangu umekasirika,sasa hata ningeandikaje nadhani ungekosoa tu maana humu kuna watu wao wako makini kutafuta kitu cha kukosoa tu.
Hapo pa zambarau ndio yale yale ninayosema wewe lengo lako lilikua kunikosoa tu,faida unazozipata kwa kufanya hivyo unazijua mwenyewe,anayejiona bora angeacha kitanda cha hoteli akalale chini?Anayejiona bora kwa kuwa yuko negative angeenda kulala na kula nyumbani kwa mtu anayejua kabisa kuwa ni muathirika?Hapa naona umenihukumu.
Mwisho wa yote nakutakia kila la kheri na pia Mungu ni mwema kwako pia,angekuwa si mwema kwako sidhani kama leo hii ungekua na nguvu za kuperuzi pamoja nasi hapa JF.Ubarikiwe.
queenkami niko na wewe, maneno yako ni shule kabisa 😛oafazaa kila jambo lina mahala pake.
kuna yanayochekesha na kuna yanayoliza sasa kama siku nitaweka thread kuwa naolewa au nimeshinda bingo bilioni kadhaa halafu ukalia nitakushangaa kwa mara ngingine tena LOL.
Cha msingi fuata ratiba,ikiwa ratiba inahusu jambo la huzuni waungwana huonesha huzuni atakayeonesha furaha jamii humshangaa japo sometimes ni ruksa kuwa tofauti na sio kufuata mkumbo tu.
Ratiba ikiwa inahusu jambo la kufurahisha ukilia jamii itakuona mwanga au mwenye wivu japo kuna machozi ya furaha ila yanajulikana.