Sikutegemea kama ingetokea siku na mimi nijihisi nimeambukizwa UKIMWI...

 
UMENUSURIKA............???, usitukane mamba kabla hujavuka mto.

Wewe unataka kuwaaminisha watu hapa kwamba upo salama, ili mtu aje kukubandua bila kondomu. Lete vyeti basi............!!!???

Kwanza ulipima wapi..........???, hakuna hospital BONGO, kapime INDIA na utuletee vyeti.


nahisi kuna chizi kaiba laptop ya dokta huko mirembe...........................ndo maana mrembo wa watu kakushtukia akaamua kukupotezea....................lazima utakuwa unaumwa akili......................ukitongoza demu akikataa sio kuleta hasira za kijijini....................jipange upya na mistari iliyokwenda shule....................
 
Nakubaliana na maneno yako, unachokiwaza ndio kinachokutokea hata kama ni kwa opposite side
 
 
 
 
Nipo father-xmas tena bukheri wa afya.......ukinijuza uzima wako ntafurahi zaidi.
 
Last edited by a moderator:

Pole sana na hongera kwa kutokuwa muathirika...siku nyingine ukipatwa na tumbo la kuendesha chemsha maji ya chumvi (chumvi kiasi) halafu kunywa glass moja kama unaendelea basi baada ya masaa sita unaweza kunywa glass nyingine ya maji ya chumvi....mara nyingi glass mbili zinatosha kabisa lakini unaweza kunywa ya tatu baada ya masaa mengine sita hapo utaona nafuu kubwa sana.

 
nadhani hali ya kujihisi ni ya kawaida haswa kama umepoteza mechi za mchangani siku za karibuni.....ila baada ya huo upepo kupita (kama wasemavyo viongozi wa chama kijani) unasahau na kendelea na hamsini zako.

Observation: mshauri mama mkubwa atumie dawa za kuongeza maisha na kula lishe bora aipukane na vidonda. Pia nasikia kuna truvada siku hizi, sijui kama imeanza kazi....

Pili: kitendo cha kwenda kulala nane chaonyesha kabisa hapo hamna unyanyapaa kama baadhi ya wachangizi walivyodai.

Tatu: hongera kwa kigori....mswati anawatafuta sana, ukipata safari ya huko unaweza mtembelea 🙂!
 
Shigongo fanya story writer search utapata wengi sana..............

Sitaki kuamini kuwa ukucha umekukata tena wenye kidonda mpaka damu itoke???

Story zingine bana mmmmmhhhhhhhhhhhhhh kama naona nakosa connection vileee???
 

Aisee we ni israel mtoa roho? mbona dada katoa yaliyo moyoni mwake na imekua fundisho lake.usipende kuangalia kila kitu negatively utakuwa na upungufu wa maji mwilini
 

Thanx father xmas.
Ni kweli ukitaka kujua jinsi hii kitu inavyotisha ni pale utakapokua unajihisi unao.
Habari ya kwako lakini?
 
sweetlady asante dear.
chukualia mfano unaambukizwa kwa style kama hii yangu halafu unajifanya mcha Mungu hivi ukiwaambia watu kuwa sijaupatia kwenye zinaa watakuelewa kweli?au si ndio utaonekana chui kwenye ngozi ya kondoo..
Mimi mpaka naamua kwenda kupima mawazo yangu kwa asilimia kubwa yalishawishika kuwa ninao hivyo nikaona bora nikapime ili kama ni dozi nianze mapema kabla sijaanza kutokwa na mapele na kukonda hadi watu wakaanza kunishangaa.
Mpendwa wangu ukiwa katika hali hii ya kujihisi unao ni mateso yaani tumuombeni Mungu atuepushe.
 
Last edited by a moderator:

Asante BAK
Nitaizingatia hiyo tiba siku nikipatwa tena na hilo tatizo asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK


Asante Mkuu wehoodie.
Nitamwambia maza amshauri ndugu yake na kumpa elimu juu ya umuhimu wa hilo maana kwa kweli anahitaji hizi dawa ila kusema ukweli kwa vile mimi hajaniambia yeye mwenyewe naogopa kuanza kumwambia hayo mambo ila kwa mama ni sawa sababu mama mkubwa wangu alimwambia mama hilo tatizo lake.
Kuhusu kumnyanyapaa sio kweli na wala siwezi kufanya hivyo sababu hata mimi nikiwa katika hali hiyo sitafurahia watu waninyanyapae.
 
Last edited by a moderator:
Shigongo fanya story writer search utapata wengi sana..............

Sitaki kuamini kuwa ukucha umekukata tena wenye kidonda mpaka damu itoke???

Story zingine bana mmmmmhhhhhhhhhhhhhh kama naona nakosa connection vileee???

Mpendwa Dena Amsi hata mimi sio kila kitu kinachosemwa huwa ninakiamini hivyo sikushangai jinsi ambavyo hujaniamini.
Haya yamenitokea mimi,kwangu mimi huu ni ukweli na sioni sababu ya kujikakamua ili kukufanya uniamini.
 
Last edited by a moderator:
 

Bado ulikosea sana, unaishi wka sandakalawe.......na wasomi wengi sana wana matatizo HAWAJUI ukimwi, ila wanadhania wanaujua!!

ulichotakiwa kufanya

1. Nenda hospitali haraka within 72 hours upate kinga, hii ina itwa PEP-post exposure prophylaxis ! hakuna cha kusali wala cha nini

Vijidudu vya HIV huchukua masaa 72 kuingia kwenye cell ambako vitaishi siku zote, ukiweza kuvizuia visifike huko basi wewe mzima PEP inafanyanya hivyo

Kwa watoto wa mjini Septrin inatumika kama PEP!!! ha ha ha
 
Nashauri mkapime tena ukizingatia kwamba kuna vipimo vya VVU havikufikia viwango vya TBS ndio maana hata matokeo ya Samunge yalikuwa tata (msitishike lakini)!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…