- Thread starter
- #141
Bado ulikosea sana, unaishi wka sandakalawe.......na wasomi wengi sana wana matatizo HAWAJUI ukimwi, ila wanadhania wanaujua!!
ulichotakiwa kufanya
1. Nenda hospitali haraka within 72 hours upate kinga, hii ina itwa PEP-post exposure prophylaxis ! hakuna cha kusali wala cha nini
Vijidudu vya HIV huchukua masaa 72 kuingia kwenye cell ambako vitaishi siku zote, ukiweza kuvizuia visifike huko basi wewe mzima PEP inafanyanya hivyo
Kwa watoto wa mjini Septrin inatumika kama PEP!!! ha ha ha
Mkuu ni kweli ilinipasa kufanya hivyo ila wakati huo sikuwa najua mambo ya PEP.
.Nashauri mkapime tena ukizingatia kwamba kuna vipimo vya VVU havikufikia viwango vya TBS ndio maana hata matokeo ya Samunge yalikuwa tata (msitishike lakini)!
Mkuu Companero nilipima nje ya nchi wana teknolojia za hali ya juu.
Pia nilipima ikiwa zaidi ya miezi minne ishapita.
Pia umesema unashauri "mkapime",hapo sijakuelewa unashauri mimi na nani tukapime?
Last edited by a moderator: