Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

Haraka haraka haina baraka na wajinga ndio waliwao. Ulidhani siku zote wanaume wa kuuona uzuri wako hawakuwapo hadi ufike wewe? Nadhani umejifunza kitu kuwa usipende kufundisha kabla ya kujifunza.
 
Haraka haraka haina baraka na wajinga ndio waliwao. Ulidhani siku zote wanaume wa kuuona uzuri wako hawakuwapo hadi ufike wewe? Nadhani umejifunza kitu kuwa usipende kufundisha kabla ya kujifunza.
😄😄 sawaa mkuu. Ila nlijifunza kitu.
 
😆 daah kweli Wenge linaponza. Ila nimeahidi kurudi Tena Meru.
Ningekuwa mimi hapo ndo ninge mbato kabisaaa!! hata kwa ulinzi wa Masela, unajiandaa kwa lolote!! labda km hakuwa mzuri!! tena ya mbaya wako inakuwaga tamuuu hiyo sijui kuna nini pale!! hee!! unge mtorosha tu!! aje Dar upige mashine jamaa aka lee!!!
 
Si unajua ubaharia tunatofautiana. 😅 Inaonekana wewe ni mtu hatari. N pic kal mbayaa. Tatzo nliingiza upepo tu.
 
Ni jamaa yake sambura. Na washkaji zake Kama wawili hivi
Umetuaibisha mkuu, iwe fundisho na ujifunze self defence, huwezi chapwa fimbo na watu wa tatu tu mkuu, ingetakiwa uwafundishe adabu wawaogope wa jijini.
 
Umetuaibisha mkuu, iwe fundisho na ujifunze self defence, huwezi chapwa fimbo na watu wa tatu tu mkuu, ingetakiwa uwafundishe adabu wawaogope wa jijini.
techniques za self defense ni muhimu.ningerusha ngumi pale ningeongeza balaa ukizngatia huna hata wana. Alafu wanapenda mapanga. Kukukata mahali hawaoni shida. 😄 Nmiwie radhi wana wote wa dsm.

Duuh aisee umenifanya nikumbuke meru.
 
Nafahamu, akheri, poli, nkoanrua, bangata, tengeru, ambureni, maji ya chai, usariver, ndoombo,
Sawaaa mkuu, io ndio Meru sasaa. Kisimiri, ngarenanyuki, momela, nshupu, chama, kwa fundi, Loita, Ndoombo Hadi Ubungo, nkoaranga, kimundo.list ni ndefu tupo pamoja boss😀
 
Sawaaa mkuu, io ndio Meru sasaa. Kisimiri, ngarenanyuki, momela, nshupu, chama, kwa fundi, Loita, Ndoombo Hadi Ubungo, nkoaranga, kimundo.list ni ndefu tupo pamoja boss😀
Nkoarisambu, seela, shangarai,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…