Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

Sikutegemea kama ningeishia kuchapwa kama mtoto mdogo

Ndio ivo uzi wangu asilimia 90% unajieleza kupitia kichwa Cha habari. Ilikuwa mwaka juzi tumeenda kwenye harusi ya kaka wa rafiki yangu kule Meru. Nianze kwa kusema Meru ni pazuri Sanaa kwa mazingira yake Migomba na miti pia ukijani uliotawala ulionifanya nifurahie kwa mda wa siku 5 nilizo kuwa huko, Changanya na pic kali kupindukia duuh😍

Ni ndani huko Kijiji cha Mzeituni, haitapita dakika haujasikia sauti za ndege za kuvutia Kama hondo hondo(hornbill) au hadada ibis. Nkipakumbuka natamani nikazikwe pale.

Bila kusahau historia mubashara ya kukua kwa kile kijiji, historia ya wajeruman waliofika mwaka 1896 na makanisa ya zamani. BACK TO THREAD ✍️haya sasa siku ya tukio.

Baada ya harusi nlipata namba ya binti mkali wa kimeru kule binti kwa kabila lao anaitwa (Samburaa) chap nlimwimbisha akanielewa kiasi ila akasema hanijui vizur so nimpe mda. Bila kuwaza kuwa nipo ugenini nkamuomba meeting kesho yake kwa haraka na kukurupuka Bila kupewa ABC za kule😃

Kumbe alikuwa ana mshikaji na jamaa yake alichukua simu yake usiku nikawa namueleza hisia zangu. Kesho mda ulivyo wadia nipo location daaah 😄 hata dakika tatu hazikuwa zimeisha nmechakaa fimbo kila kona najaribu kujiokoa wapii. Wakaondoka ikabidi nimpigie jamaa angu simu chap akaja kunichukua kesho yake tiketi ya basi kurud jijini.
Haraka haraka haina baraka na wajinga ndio waliwao. Ulidhani siku zote wanaume wa kuuona uzuri wako hawakuwapo hadi ufike wewe? Nadhani umejifunza kitu kuwa usipende kufundisha kabla ya kujifunza.
 
Haraka haraka haina baraka na wajinga ndio waliwao. Ulidhani siku zote wanaume wa kuuona uzuri wako hawakuwapo hadi ufike wewe? Nadhani umejifunza kitu kuwa usipende kufundisha kabla ya kujifunza.
😄😄 sawaa mkuu. Ila nlijifunza kitu.
 
😆 daah kweli Wenge linaponza. Ila nimeahidi kurudi Tena Meru.
Ningekuwa mimi hapo ndo ninge mbato kabisaaa!! hata kwa ulinzi wa Masela, unajiandaa kwa lolote!! labda km hakuwa mzuri!! tena ya mbaya wako inakuwaga tamuuu hiyo sijui kuna nini pale!! hee!! unge mtorosha tu!! aje Dar upige mashine jamaa aka lee!!!
 
Si unajua ubaharia tunatofautiana. 😅 Inaonekana wewe ni mtu hatari. N pic kal mbayaa. Tatzo nliingiza upepo tu.
 
Ni jamaa yake sambura. Na washkaji zake Kama wawili hivi
Umetuaibisha mkuu, iwe fundisho na ujifunze self defence, huwezi chapwa fimbo na watu wa tatu tu mkuu, ingetakiwa uwafundishe adabu wawaogope wa jijini.
 
Umetuaibisha mkuu, iwe fundisho na ujifunze self defence, huwezi chapwa fimbo na watu wa tatu tu mkuu, ingetakiwa uwafundishe adabu wawaogope wa jijini.
techniques za self defense ni muhimu.ningerusha ngumi pale ningeongeza balaa ukizngatia huna hata wana. Alafu wanapenda mapanga. Kukukata mahali hawaoni shida. 😄 Nmiwie radhi wana wote wa dsm.

FB_IMG_16191460086277669.jpg
 
Nafahamu, akheri, poli, nkoanrua, bangata, tengeru, ambureni, maji ya chai, usariver, ndoombo,
Sawaaa mkuu, io ndio Meru sasaa. Kisimiri, ngarenanyuki, momela, nshupu, chama, kwa fundi, Loita, Ndoombo Hadi Ubungo, nkoaranga, kimundo.list ni ndefu tupo pamoja boss😀
 
Sawaaa mkuu, io ndio Meru sasaa. Kisimiri, ngarenanyuki, momela, nshupu, chama, kwa fundi, Loita, Ndoombo Hadi Ubungo, nkoaranga, kimundo.list ni ndefu tupo pamoja boss😀
Nkoarisambu, seela, shangarai,
 
Back
Top Bottom