Mwanamke wa mithali 31
JF-Expert Member
- Apr 10, 2024
- 1,159
- 2,577
Mahari yangu atakula baba angu pekeeUkiona mahari ni ndefu huyu mzee wake bado ana mambo ya kiukoo , ukoo mzima unataka kunufaika ule msururu wa mahitaji ili watu wote wanufaike kweny ukoo.
Ni ujinga .
Ha haaa mzee mwenzangu nakusalimiaMTIE MIMBA halafu kausha, hudumia mimba azae akiwa kwao, hudumia mtoto,
Ukiona kimya MTIE MIMBA nyingine hudumia kama kawaida,
wakileta jeuri TIA MIMBA nyingine, watamleta kwako wao wenyewe tena na gharama za usafiri ni juu yao.
Ulikosea wewe mwenyewe. Watu hawajitoagi ukweni kwani wakwe wengi wa kiswahili hawana shukrani pia ulikosea kusaidia sehemu usiyooa na wakakuona wewe ni don.Wakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Hahaa, naipokea kwa mikono miwili mzee mwenzangu, hali yako?Ha haaa mzee mwenzangu nakusalimia
Poa kama kawa😀Hahaa, naipokea kwa mikono miwili mzee mwenzangu, hali yako?
Nimekumis mzee mwenzangu.Poa kama kawa😀
Nipo hapa nimejaa teleNimekumis mzee mwenzangu.
Nashukuru mzee mwenzanguNipo hapa nimejaa tele
Hii fujo sasa!Ukiona kimya MTIE MIMBA nyingine hudumia kama kawaida,
Mwenyewe huu mwaka wa 13 Bado nadaiwa Mali... Harafu mtoa Uzi unatetemeeka!Mimi nilimpa mimba akafukuzwa kwao nikajimilikisha yote hii ilikuwa Ili nisilipe Mahalia😂 baba mkwe mpaka amefaliki analilia mahali
😂😂😂😂😂 Hii ndio dawaKuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Mtie mimba tu , watakususia , ndo itakua Imeisha IvoWakuu habari za muda huu.