Sikutegemea nilichokikuta ukweni

Yaani ukute alishachakazwa sana huku kitaa halafu wanataka wakuuzie wewe.....achana naye mwanangu.

mimi sio muhumini wa maswala ya ndoa ila ikitokea nataka kuoa basi mahali mwisho laki 5....sijaona manzi wa kumtolea 1milion huku kitaa bado
 
Hilo is not about dini is about jamii anayotoka muhusika.
wengine hawakulipa mahari, wengine mahari mwanamke alijilipia na si waislam. Familia nyingine ni wasomi kabisa walikataa mahari.
So inategemea unaenda kuchumbia wapi na familia ya muhusika ikoje
 
Familia zote civilized huwa haziwekagi mahari kubwa za kukomoa au wameona wakunyime mke..
 
Hahaaaa watu wenye pesa bwana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…