Sikutegemea nilichokikuta ukweni


Kwa sasa tamaduni zina nguvu mno kuliko dini kwa kuwa dini asilimia kubwa imebaki ya mazoea tu.

Refer, Zanzibar na Tanga kwa sasa mahali hazishikiki
 
Wachaga hawajawahi kuwa na mahari kubwa ndio kabila moja wapo lenye mahari ndogo , ukitoa vitu kama vitenge vya bibi ,shangazi na debe la mbege unachukua msalaba wako.
Sijawai kusikia mahari kubwa hapa uchaggani kwetu, kwanza wazee wetu hawapendi kupokea mahari kabisa labda awe ni kapuku, mimi sipokei mahari kwa binti wangu.
 
...

imejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana

...nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana. HAPA NDIPO ULIPOCHEMKA. Pole sana, kamwe usiwekeze ukweni
 
Kwa sasa tamaduni zina nguvu mno kuliko dini kwa kuwa dini asilimia kubwa imebaki ya mazoea tu.

Refer, Zanzibar na Tanga kwa sasa mahali hazishikiki
Bahati mbaya huko kote ni kwetu na mahari anaulizwa mwanamke ... Watu wameelimika na kuweka mila za kijahil pembeni
 
Mtie mimba. Mie mwaka 2016 nilifanyiwa mapicha picha, tumepeleka kishika uchumba wakapokea ila wakauliza kijana utabidili dini nikapigiwa simu kuulizwa nikapoza tu kuwa nipewe muda nifikirie.
Mshua alinipigia simu moja tu. Hivi sikujua km nimezaa mtoto mjinga km wewe unashindwa nini kumtia mimba huyo? Aloo, miezi 03 mbele akaanza kutafuta malimao na udongo. Alipojifungua kaleta mtoto kwao ndo hakurudi jumla. Baadae nikatia mimba ya pili sasa hivi 2024 ndio wanaulizia mahari.
Itabidi tuvumiliane tu uchumi wa kati mgumu
 
Kubali kataa dini ya kiislamu imerahisisha na asilimia kubwa ya familia zinazofuata miongozo na taratibu ziliwekwa kwenye Dini mahari anataja mwanamke na ni ya kwake yote.. hahusiki baba wala bibi wala babu
 
Kubali kataa dini ya kiislamu imerahisisha na asilimia kubwa ya familia zinazofuata miongozo na taratibu ziliwekwa kwenye Dini mahari anataja mwanamke na ni ya kwake yote.. hahusiki baba wala bibi wala babu
Sorry to tell you i dont care about dini. Tamaduni ya familia na kabila la mtu ndio lina determine, oh and for the status na mwanamke mwenyewe
 
Hivi zama hizi bado kuna vijana wanakwenda kuoa kwa kulipa mahali?
Yaani kijana unakwenda kuwapa watu usiowajua milioni moja ya bureeee!
Kweli wajinga ndio waliwao.
 
Safi, agizeni Safari Lager hapo...
 
Hahaaaa watu wenye pesa bwana
Sio kuwa na pesa bro. Nina mtoto wa kike nampenda sana. Aje mtu kumuoa alafu alete pigo za kuwa namtajia mahari kubwa au kumkomoa namuona boya.

I raised my daughter well she deserve kupewa mahari njema kabisa. Anastahili kabisa

Na hao wanaodai watamtia binti mimba watasubiri sana. Sio kila mtoto wa kike aba akili mbovu.
 
Hawa wameonesha mapema kabisa kwamba ndoa ni utapeli. Yaan wameanza kuku-scam mwanz mwanzo kabisa.

Janjaruka mzee, huko ukweni watakusumbua sana hata ukishaoa
 
Bila Shaka ukweni Ni wachaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…