kekule benzene
JF-Expert Member
- Sep 28, 2016
- 1,444
- 3,576
Uislamu raha sana kwenye jambo kuoa moja mahari ni ya mwanamke yeye ndio anataja anataka nini kama seti ya sahani sawa kama mkeka wa kuswalia sawa ... Jambo la kuzika na jambo la kuoa limefanywa rahisi na la haraka mno .
Pole mkuu lipa hiyo mahari mambo ya mila ya ajabu ajabu
Kwa sasa tamaduni zina nguvu mno kuliko dini kwa kuwa dini asilimia kubwa imebaki ya mazoea tu.
Refer, Zanzibar na Tanga kwa sasa mahali hazishikiki