Mtemi Mbojo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 891
- 1,569
Sidhani kama hii ndio LENGO la Mahari..shida mwanadamu ameingiza tamaa zake,husda,ujinga ,ushindani wa kijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kwenye mahari wajomba lazima wawepoNiliozesha pacha wangu kama miaka mitano ilishapita ,huko kwa wahaya nilihakikisha anaenda bure kabisa kwa sababu wajomba walitaka kuingiza drama ila sisi kama familia hatukua tunataka chochote ,kwa sababu mahari ni kama biashara tu.
Kutokana na taratibu na Mila za jamii husika kama wapo ,lazima wawepo.Kwani kwenye mahari wajomba lazima wawepo
🤣🤣🤣 Hayo maamuzi ya Kiume sanaa . Unajua kuoa una unganisha udugu, watu wanafanya kama mnauziana binti ,mna komoana then kesho yake bado watakuja na kuombana sijui mjomba hivi, baba vile au naend home kuuguza.Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.
Ivo yaanKweli mabwege hawaushi kwaiyo ulivyojitoa ukweni ukajua mahari itakuwa laki mbili kweli ww toa mzee uchukue jiko wahuni wakupigie
Mkuuu! Kuna familia za ovyo sanaaa. Unaweza kujikutana masimango kisa hukumaliza mahari, au watu wanaanza kufanya maamuzi ya chini chini kukunyima sauti kisa hujamaliza mahari...Usiogope! Unachopaswa kufanya ni kutoa ulichonacho hata kama umeambiwa ni shiling ngapi! Mahari haiishi kulipa.
Unamwingiza chaka mwenzio mchana kweupe! Atashushiwa mshipa wa ngiri mpaka akome! Yaani kazee kanamhesabu binti kama mtaji uje ukachafulie katakuacha salama? Kikubwa afanye negotiation vizuri tu mbona dingi atashuka! Hapo 2m uhakika!MTIE MIMBA halafu kausha, hudumia mimba azae akiwa kwao, hudumia mtoto,
Ukiona kimya MTIE MIMBA nyingine hudumia kama kawaida,
wakileta jeuri TIA MIMBA nyingine, watamleta kwako wao wenyewe tena na gharama za usafiri ni juu yao.
Hakunaga mahari kubwa na sababu ni kuwa watu hawako tayari kumuuza mtoto wao, pia vitu vitolewavyo ni kanga, mashuka, blanket, mbege na maziwa.....
Mdogo wangu alioa kwa laki 5 usukumani, tena alitoa laki 4 mwaka wa 5 huu laki hajamalizia na hana mpango wa kumaliziaSasa wewe ujiingize kuoa Msukuma halafu ulete mahari 1m? Utatimuliwa asubuhi na mapema! Kila mwanaume akaoe kwao, wenye tamaduni zao waachieni!
Naomba namba ya huyo mchumba wako kuna kitu nataka nimuelekezeWakuu habari za muda huu.
Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom.
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana. Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki.
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
Kujitoa kwako ukweni ndio sababu ya wao kukupiga parefu.Wakuu habari za muda huu.

😁😁Mkuu chunga sana usimwamini sana binti yako, tusije kukukuta juu ya mwembeSio kuwa na pesa bro. Nina mtoto wa kike nampenda sana. Are mtu kumuoa alafu alete pigo za kuwa namtajia mahari kubwa au kumkomoa namuona boya.
I raised my daughter well she deserve kupewa mahari njema kabisa. Anastahili kabisa
Na hao wanaodai watamtia binti mimba watasubiri sana. Sio kila mtoto wa kike aba akili mbovu.
Ukiona binti ana mambo ya ovyo ukweli ni kuwa umefeli kama mzazi. Na kufeli kupo sikatai, akiwa binti wa hovyo anayeshindwa kuniheshimisha she ain't my daughter😁😁Mkuu chunga sana usimwamini sana binti yako, tusije kukutungua juu ya mwembe.
Milioni 2 ananunua ng'ombe wa maziwa au.. Halafu masuala ya mzai kutaja mahari utafikiri ye ndio muolewaji, utaratibu huo haufai, mahari ni zawadi ya binti muolewaji toka kwa mume.Unamwingiza chaka mwenzio mchana kweupe! Atashushiwa mshipa wa ngiri mpaka akome! Yaani kazee kanamhesabu binti kama mtaji uje ukachafulie katakuacha salama? Kikubwa afanye negotiation vizuri tu mbona dingi atashuka! Hapo 2m uhakika!
Sasa mkuu mila unalinganisha na imani ya dini? Usukumani mahari ni ya baba! Ndiyo maana huwa kuna utaratibu wa kwenda "kuloma mpango!" Mzee anachagua wazee wenzake wanaenda ku-bargain mahari! Siku moja nikasakiziwa vijana wa Kiha kwenda kuwatetea kwenye mahari vizee vya Kisukuma vikang'ang'ania 5m, vijana wa Kiha wakakata tamaa ya kupata binti wa Kisukuma! Mwisho wa siku tukayamaliza pamoja na vutankuvute!Milioni 2 ananunua ng'ombe wa maziwa au.. Halafu masuala ya mzai kutaja mahari utafikiri ye ndio muolewaji, utaratibu huo haufai, mahari ni zawadi ya binti muolewaji toka kwa mume.
Kwa mujibu wa imani ya dini yangu,
Kwamba nimeenda kuposa, binti kanikubali, kule kunikubali mimi, yaani huenda kaishakataa wengine huko, hivyo kwa furaha ni kumuuliza nikuoe zawadi gani, yeye ndio anataja, zawadi hiyo ndio inaitwa MAHARI.