Cavill
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 379
- 1,284
Bwana! Bwana! One time nilipokua in my early 20’s nilipitia changamoto moja hivi ya kikubwa, nilikua nimepanga chumba kimoja maeneo flan ivi Arusha mtaa mmoja ivi nyumba zimepangiliwa vizuri na waliachiana kama korido kati ya mji mmoja na mwingine. Nyumba niliopanga ilikuwa imepakana na Nyumba nyingine yenye wapangaji pia na mmoja kati ya Wapangaji hao alikuwa mdada flani hivi wa makamo vijana wa sasa wanaita ‘mshangazi’.
Kawaida mi ni mtu mwenye adabu sana na heshima kiasi, yule dada sikuwahi kumchukulia kivyovyote vile zaidi ya kuwa ni jirani yangu alienizidi umri na mwanamke anayeishi singo anapambana kimpango wake. Kiufupi nilikuwa nampa shikamoo ya kumaanisha kabisa..
Tatizo lilianza siku moja napita kwenye korido pembeni ya dirisha lake majira ya mchana kipindi cha joto Arusha. Wenyeji wa Arusha wanafahamu ujenzi wa Arusha ulivyo Madirisha hua ni ya vioo uwe na uwezo ama huna, ukitaka uishi vizuri lazima uwe na dirisha za vioo hakuna namna, na haswa kipindi cha baridi hua yana save sana,Ila kipindi cha Joto hugeuka kero sababu hewa inakua haipiti.
Dada dirisha lake moja lilikua wazi na niliweza kusikia kilichokua kinaendelea mule ndani, sasa changamoto ni kwamba nyumba zetu zimepakana kwa karibu sana maana hapo mwanzo mmiliki wake alikuwa ni mmoja na alilazimisha kujenga miji miwili kwenye kiwanja kimoja kidogo kwa ajili ya biashara ya kupangisha. Sina na sijawahi kuwa na tabia ya kupiga chabo na lile tukio lilitokea naweza kusema kwa wakati mbaya sana maana sikutumia nguvu kusikia kilichokua kinafanyika mule ndani na wala sikusitisha kile nilichokua nafanya yaan kutembea kwenye korido kuutafuta mlango wa kuingilia kwenye nyumba yetu. Ila muda nilioutumia kupiga hatua bila kupunguza kasi ulitoshana kabisa na muda wa tukio husika na kwa kweli sikujua kama lingenifadhaisha kiasi cha kushindwa kulisahau na mpaka hivi leo kuandika kile nilicho experience
Nitaendelea baadae