Sikuwa na namna, mtanisamehe

Sikuwa na namna, mtanisamehe

Ifike mahali neno itaendelea lipigwe marufuku.Hili neno lina ukatili ndani yake [emoji12][emoji12][emoji12]limetukatili mara kadhaa[emoji12][emoji12]
Uwe unawalipa pesa wakuandikie Mkuu watu Wana kazi zao ..... Wakipumzika ndo wanakutupia... Khaaa
 
Muendelezo

kichwani nikiwa sina hili wala lile baada tu ya kuvuka choo cha nyumba ya pili nakuingia koridoni, dirisha la kwanza upande wangu wa kulia akili ikiwa haijatambua ni dirisha la nani nikasikia miguno ambayo naweza kuiita ni kelele kwa namna ilivyokua inasikika kwa sauti ya juu, kiufupi ni kwamba kilichokua kinaendelea mule ndani ni tendo la zinaa maana yule dada alikua hajaolewa
Oya, nilisikia miguno ya mwanaume alieonekana kugugumia kwa ugumu as if mdomo wake umefunikwa na kitambaa kizito akisindikizwa na sauti ya mwanamama alieonekana kutokuelewa ni mahali gani yupo kwa wakati huo, sasa kilichoifadhaisha akili yangu ni sambamba na sauti zao zilisikika pia sauti za viungo vyao vya mwili yaan yule dada ni kama alikua anamwaga maji ambayo kutokana na presha ya msuguano wa miili yao ni kama yalikua yanapata upenyo wa kutoka kwa taabu saana na kutengeneza mlio ambao sikuuelewa, hali ile iliendelea kwa takriban sekunde 30 ~ 45 muda wote akili yangu inajiuliza ni nini ninasikia baada ya muda kukawa na kimya cha kuogofya.
Nikaendelea na safari yangu na bahati nzuri nilikua nimeshaufikia mlango wa chumba changu na kuingiza funguo kwenye kitasa na kufungua loki nikazama ndani.
Akili yangu ikiwa katika hali ya mfadhaiko bado nakumbuka nilikaa ndani kama dakika tano na kuamua kutoka kwa ajili ya kuelekea dukani sikumbuki nilichokua nafata.

Ghafla! Natoka kwenye kigeti koridoni nakutana na yule dada akiwa amevalia kikoi kakifunga shingoni na kanga nyingine kwa chini na mkononi akiwa na ndoo yenye maji, kiasili ni mweupe ila nikama kaongeza na vipodozi kwahiyo weupe wake unamn’gao flani usio wa asili, ila kwa muda huo ulikua una wekundu unaoishilia hivi nikajiongeza tu kihuni..

“Samahani Cavill, naweza tumia bafu lenu maana hapa kwetu kuna mtu yuko bafuni na nataka niwahi ofisini kuna wateja wananisubiri..” ilinichukua kama sekunde 8 ama 6 ivi kuelewa anachonieleza then nikamjibu kwa mkato tu , haina noma sister… then nikampisha apite getini
(Tukio lingine) akiwa anapita getini mi nimesimama namsubiri apite nikiwa nimeshikilia geti, mshikio wa ndoo yake ukanasa kwenye komeo la geti akawa analazimisha kukwepesha, katika zoezi la kukwepesha ndoo kanga ya chini ikanasa kwenye slippers alizokua amevaa akawa kama ameikanyagia kwa chini hivi juu ya chuma cha chini ya geti, Kanga ikaanguka wakati akiwa ameshaingia korido ya ndani kuelekea bafuni kukwepa aibu ikabidi askuti tu ivyo ivyo mpaka bafuni na ile kanga kaiacha pale getini, sasa nilichokutana nacho pale ndo kikazidi kunivuruga zaidi…
Mi sikutaka kumjali sana nikaokota ile kanga nikaisokomeza kwenye tundu la geti then nikayeya kwa kuweweseka uelekeo ukiwa ni wa dukani

Tukaneni tu ila ntaendelea nikipata chance
 
Unakatwa na Mandonga
 
Back
Top Bottom