Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
Tafuta hela kijana. Wanawake wapo tu
Hera!? Endelea kujidanganya
Maumivu yake kama ya jino??Nilikuwa nashangaa mtu akililia , yamenikuta hadi nahisi mwili unawaka moto .. check backup zote hazijafikia kiwango cha namba moja wao.. kujifariji kupitia backup lakini wapiiii maumivu yapo pale pale dah! ama kweli backup sio mkombozi