Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Bro hujawah kukutana na mwanamke wewe...kuna madem mna match kila sector maongez, utan, sex tamu ,..hakuegemei kwenye outing ama matumiz ya kawaida Yan raha sana sasa achana na demu wa hiv kutana na akina ndala ndefu....
wanasema usitukane mwamba kabla hujavuka mto, ipo siku na yaja saaa watafuta kauli zao. Nilikuwa kama wao ila kwa tukio ambalo nimepigwa aah! inategemea umekutana na nani 😀😀😀
 
Tatizo ulichukulia mapenzi ni sex pekee ndio maana unaona ata backup zote sio kitu kwa huyo aliekuacha.

Epuka kuachana na mtu mliekuwa mnapendana alaf hapo hapo ukajidai kwenda kutafta backup yake haraka haraka
Mkuu ghorofa kubwa lazima liwe na backup generator, najua tofautisha sex na mapenzi ila kuna kipindi backup zinaelemewa ndipo hapo tatizo huzidi 😀😀😀
 
Pole sana kijana ushauli wangu

1.kitu kwanza kubali kwanza hakuna jambo lenye mwanzo lisilo kuwa na mwisho hivyo kubaliana na matokeo

2.pili chochote kilichotokea mwachie MUNGU na endelea na maisha mengine

3.tatu futa kumbukumbu zote za wewe na mpenzi wako na kubali kuanza upya kwani moja ya faida ya kuanza upya inaweza kukutanisha na mtu ambaye bora zaidi ya huyoo

4.epuka kumsema vibaya mpenzi wako kwa watu waliokuwa wanafahamu mahusiano yenu
Asante sana kwa ushuru mzuri sana ni msaada kwa ushauri huu, point number 2 na 3 umepiga mle mle
 
Nilikuwaza uje kumfariji mdau wa Road Trip, kumbe umeona kwa jicho lingine...😅.

Pole sana Holy Man

Labda upige trip ndefu na washkaji utapoa, ila uendeshwe wewe...
Washakaji tena 😦😦😦😦 Wanaume hawafarijiani
 
Mbona kama nyegezi ndio inakusumbua na si mapenzi?!
Haikuwa nyege hata, maana machaka ya kuziondoa mengi na baadhi ya wachezaji wa akiba wakali kuliko hata namba moja, nilipatiwa kwenye angle yangu pigo takatifu. All in all niliweka mambo sawa japo kwa gharama kubwa 😀😀😀😀
 
Skuizi wavulana mmekua na machozi ya karibu kukiko dadazenu eehhh...🤔
Mkuu hiyo picha wameniwekewa mod, ukija otewa panapo sehemu ya udhaifu wako ndio utajua chozi hata Adamoo alitoa.. mtu akijua sehemy ya udhaifu wako hupindui atakuumiza tu
 
Sasa bora uwe innocent lakini sio uwe wewe ndo matatizo siku zote.

Unaambiwa afu husikii unajiona wewe ndo wewe huwezi achika unapendwa sana.


*****.
Umeongea point, nilikuwa namzingua sana kipindi namzingua sikuwa najua kama yupo deep moyoni mwangu. alipo fanya kweli ndani yangu pakawaka. But nime solve haraka sana mambo ni murua yaani
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SAFI SANA.


Karma mtu kakutwa na jambo huku. Si ni huyu ndiye alisema hatumsumbui anapiga na kusepa? Hehehe haloooo baharia analia 🤣🤣🤣

Saint Anne
Ebu nitake radhi kwanza 😀😀😀
 
Sex na pisi nyingine hata ziwe kali vipi haitatui maumivu ya moyo wallahi. Yani haigusi.
Watu wanaongea tu, ukiotewa kwenye angle yako hauchomoi hata uwe nani utaumia tu, unaweza toka hapa ukachakaza pisi unatoka maumivu ndio kwanza yanaongezeka 😀😀😀
 
Sex na pisi nyingine hata ziwe kali vipi haitatui maumivu ya moyo wallahi. Yani haigusi.
kuchomoa hapo ni kujisalimisha kwa pilato kama inawezekana akutibu moyo wako , maisha yaende ila kama pilato nae akatia ngumu basi hapo ni kupata tiba ya moyo mdogo mdogo
 
Watu wanaongea tu, ukiotewa kwenye angle yako hauchomoi hata uwe nani utaumia tu, unaweza toka hapa ukachakaza pisi unatoka maumivu ndio kwanza yanaongezeka [emoji3][emoji3][emoji3]
Yani mtu anakupatia mahala unakubali nimepatikana. Kuchomoka hapo panahitaji nguvu za ziada na msaada wa wadau
 
Yani mtu anakupatia mahala unakubali nimepatikana. Kuchomoka hapo panahitaji nguvu za ziada na msaada wa wadau
😀😀😀😀 mwisho wa siku nikavimba kwanza nina kitukuu cha mtume alafu bado kipyaa , ohoo hata chenyewe kilichemsha mapema kwanza nilikuwa nikakaa nacho naenjoy kwa mda ile network inakuja na kupotea 😃😃😃😃.. nikajaribu hata kumahirikisha maana alikuwa anajua nina mtu yaani ndio kwanza kama nikawa naongeza maumivu
 
kuchomoa hapo ni kujisalimisha kwa pilato kama inawezekana akutibu moyo wako , maisha yaende ila kama pilato nae akatia ngumu basi hapo ni kupata tiba ya moyo mdogo mdogo
Yes maana hata sisi wapiga vyombo ndio tunabet. Inaweza saidia au kubomoa kutegemeana na mawazo anayoyapitia mtu akiwa kapiga vyombo.

Tiba ya moyo ina take time na ina hatua refere 5 stages of grief

Denial
Anger
Bargaining
Depression
Acceptance
 
Back
Top Bottom