Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Polee sana mkuu
IMG-20210930-WA0373.jpg
 
sijasema pesa utuliza mwanamke ilaukiwa nazo ni bora zaidi.akizingua unapiga chini unavuta kifaa kingine. Wanawake wapo wengi Sana kwanini uumie na mmoja?
Haujaelewa mbna kasema kwamba madem wengne anao(backup) ila baada ya kuachwa na uyo bdo haijasaidia chchte.
Mapenzi yanauma uwe na pesa ama uwe kapuku.
Unaweza kuvuta mwingne ila hatofikia level ya kumpenda yule sas maumivu yatakuwa palepale,pesa sio suluhisho
 
Mkuu Wanama umenielewa vizuri sana, backup zangu zingine kali kuliko namba moja ila haikufua dafu, kuna kipindi upo na backup yako inajaribu ku care kwa kila namna ila inakuwa kama mawimbi na kama kuna moja amabyo nili amini naipenda kuliko namba moja wangu, na hata ilivyotokea shida niliigusia ilijaribu sana kunitulipa ila wapi moyono unauma baraa , amani ya ndani inatoweka kabisa akili inakuwa nzito kabisaa kabisaa
 
Watu si wanapayuka tu hawajui moyo(mapenzi) na pesa Ni vitu viwili tofauti. Backup na pesa izo zinasaidia tu kutuliza ny*ge na sio kupata mapenzi(ile feeling).pesa haileti mapenzi Bali inaleta wanawake
 
Sasa si uachane na hizo backup usimame tu na njia kuu kwa uaminifu?
Mkuu Wanama umenielewa vizuri sana, backup zangu zingine kali kuliko namba moja ila haikufua dafu, kuna kipindi upo na backup yako inajaribu ku care kwa kila namna ila inakuwa kama mawimbi na kama kuna moja amabyo nili amini naipenda kuliko namba moja wangu, na hata ilivyotokea shida niliigusia ilijaribu sana kunitulipa ila wapi moyono unauma baraa , amani ya ndani inatoweka kabisa akili inakuwa nzito kabisaa kabisaa
 
Kuna watu ambao wanafikiri pesa inaweza ikawa substitute ya upendo, kumbe ni kitu ambacho hakipo kwa %kubwa. Hakuna raha kama uwe na pesa, afu ukawa na mtu pia ambaye mnapendana; raha sana. Too bad kuna wenzetu ambao mioyo imeshakufa kama sio kujikatia tamaa, wameamua tu kutafuta pesa na kuachana na mengineyo; na ndiyo watu ambao hata wakipendwa hawapendeki. Wanatreat wenza wao as one of their items, mwisho wa siku wanaachwa tu na nafsi zao zilizokufa. Upendo ni kitu cha thamani sana kwenye maisha
Ni kwa vile tu billgate hayupo JF Angelia San humu au uskute aliyeleta mada ndo billgate mwenyewe.
Mapenzi hayana komandoo
 
Ukiwa nahela una nafuu Sana.
maana utatembea name mwanamke yeyote unayemtaka. Shida mapenzi mnayakutia ukubwani
usicheze na ke'' wee dogo! samson hakuwa mjinga...... shika neno hili! utakuja jikuta unatembea tembea njiani then una jinyea hadharani! kisa hujui! ndo utajua kuwa hujui ..... na

nini uli cheza na hisia za mwanamke kwa kutumia pesa zako!! kazana uone matokeo yake hayako mbali! tena mbaya zaidi una pesaaaa? sijui mali .... heee!
 
Hakuna raha kama uwe na pesa, afu ukawa na mtu pia ambaye mnapendana; raha sana. Too bad kuna wenzetu ambao mioyo imeshakufa kama sio kujikatia
Kumbuka hio pesa zenu mwajuma ndala ndefu anazitaka pia! mtarogwa nyie mpaka mtie akili! kuwa na pesa halafu muwe wachawi hkn cha dini hapo yesu mzungu wapi na wapi!

jua Biblia usitapeliwe! pastor akikupiga kifungu na wewe unamtwanga nacho kifupi baba elimuuuu Dunia na ahera
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] SAFI SANA.

Karma mtu kakutwa na jambo huku. Si ni huyu ndiye alisema hatumsumbui anapiga na kusepa? Hehehe haloooo baharia analia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Saint Anne
Dah ndio naona leo jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom