Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Kuna watu ambao wanafikiri pesa inaweza ikawa substitute ya upendo, kumbe ni kitu ambacho hakipo kwa %kubwa. Hakuna raha kama uwe na pesa, afu ukawa na mtu pia ambaye mnapendana; raha sana. Too bad kuna wenzetu ambao mioyo imeshakufa kama sio kujikatia tamaa, wameamua tu kutafuta pesa na kuachana na mengineyo; na ndiyo watu ambao hata wakipendwa hawapendeki. Wanatreat wenza wao as one of their items, mwisho wa siku wanaachwa tu na nafsi zao zilizokufa. Upendo ni kitu cha thamani sana kwenye maisha
Fact
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SAFI SANA.

Karma mtu kakutwa na jambo huku. Si ni huyu ndiye alisema hatumsumbui anapiga na kusepa? Hehehe haloooo baharia analia 🤣🤣🤣

Saint Anne
Muhuni alitiwa nyavuni😅 sema sio vizuri kumcheka mwamba, asije akakudaka kupooza rejeta 😅😅😅
 
Back
Top Bottom