Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,743
- Thread starter
- #61
siku yako yaja nikubakue kwenye lori la mafuta ya petrol kwenye tank mle ndani ๐๐๐Sitaki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siku yako yaja nikubakue kwenye lori la mafuta ya petrol kwenye tank mle ndani ๐๐๐Sitaki
Acceptance na Denial hivi ndio mtihani wenyewe sasa na ni mzito kweli kweli ๐๐๐Yes maana hata sisi wapiga vyombo ndio tunabet. Inaweza saidia au kubomoa kutegemeana na mawazo anayoyapitia mtu akiwa kapiga vyombo.
Tiba ya moyo ina take time na ina hatua refere 5 stages of grief
Denial
Anger
Bargaining
Depression
Acceptance
Bado yuko kichwani huyo ndio maana unataka aone mambo yako asikie wivu. Bado unamuwaza. Ukipona kabisa atakuwa sio part ya mawazo yako tena. Utafanya yako. Sema ni taratibu mpaka kufikia hatua hiyo.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mwisho wa siku nikavimba kwanza nina kitukuu cha mtume alafu bado kipyaa , ohoo hata chenyewe kilichemsha mapema kwanza nilikuwa nikakaa nacho naenjoy kwa mda ile network inakuja na kupotea [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].. nikajaribu hata kumahirikisha maana alikuwa anajua nina mtu yaani ndio kwanza kama nikawa naongeza maumivu
Learn to leave the table when love is no longer saved.
๐ Unatafuta kukufa wewe.siku yako yaja nikubakue kwenye lori la mafuta ya petrol kwenye tank mle ndani ๐๐๐
Usema kweli nili solve ila ilibidi niwe mnyonge sana na kutumia nguvu kubwa sana ๐๐Bado yuko kichwani huyo ndio maana unataka aone mambo yako asikie wivu. Bado unamuwaza. Ukipona kabisa atakuwa sio part ya mawazo yako tena. Utafanya yako. Sema ni taratibu mpaka kufikia hatua hiyo.
Mkiona mnashindana kuonesheana mlivyo move one basi hamna kitu hapo bado sana kukubali
mle utamu unaongezeka kama hujui sasa tuta enjoy ๐๐๐ Unatafuta kukufa wewe.
Ulisolve kwamba umemrudisha kwako kwa kutumia nguvu kubwa?Usema kweli nili solve ila ilibidi niwe mnyonge sana na kutumia nguvu kubwa sana [emoji3][emoji3]
Na huu ndio ukweli, watu wanaona wao wameyapatia au haya wasumbui. Ni swala la mda tu ๐๐Wanaume tunajifanya masoja kwenye mapenzi ooh chukua kisu kipya ila achana na ile human connection nyie! Ukija ground tunafyatuliwa vibaya mno ni ile hatulalamiki sana online kama pisi.
Tunapigwa japo ni mara chache ila vipigo vitakatifu. Ndio kujifunza
Na pia huenda walishafyatuliwa zamani ila wameshasahu / hawataki kusemaNa huu ndio ukweli, watu wanaona wao wameyapatia au haya wasumbui. Ni swala la mda tu [emoji3][emoji3]
Ndio nili solve na mda anatoka kwenda kazini ๐๐๐๐ nishakula na kiss mwanana . Ilibidi niwe mdogo kama piliton na nilisimamisha mambo kadha wa kadha kwa mda ili nimalizane nalo siku nimechezea maumivu nilikuwa na ka min trip asee ni hatari nilikuwa nakanyaga kibati kinaenda hadi 240 bila kujuaUlisolve kwamba umemrudisha kwako kwa kutumia nguvu kubwa?
๐๐๐๐ sio wamesahau wanavunga tuNa pia huenda walishafyatuliwa zamani ila wameshasahu / hawataki kusema
Sawa mtaalamu, huu ni ushuru na ni theoly zaidi uje kwenye practical sasa ndio utaona mambo yakeJifunze kujitegemea kwanza, ndio utajiondoa ktk utumwa wa Mapenzi.
Wengi wenu mnaumizwa sio kwa shida ya kupendwa, ila kwa shida ya kukosa tegemeo katika maisha yako.
Tegemeo sio lazima liwe la pesa, linaweza kuwa la upweke, la maarifa, la maongezi, la ushirika flani nk.
Jifunze kuwa hilo tegemeo linaweza kukuacha muda wowote kwakuwa sio Malaika.
Jifunze kujitegemea na kuishi wewe kama wewe na sio kwa kutegemea kiridhishwa na mtu uliyekutana naye Ukubwani.
Tatizo la watu dhaifu wanaishi kwa kumtegemea mtu flani, wanadiriki hata kusema.
"bila mtu fulani maisha yangu hayana maana"
Utadhani huyo ndiye aliyekuleta duniani.
Mjifunze kujitegemea kifikra, upo duniani wewe kama wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu. Jikaze kiume utazoea.
Mimi mchepuko ana ujauzito wangu leo karibia mwezi hapatikani kwenye simu. Napoza maumivu kwa wife tu.
Haimtuliz mwanamke ila itakutuliza wewe uache kulia lia we siunaona bill get halii lii hovyo kisha breakupHivi wanawake unadhani pesa ndiyo huwatuliza?? Bill Gates na Mke wake wasingeachana!
We endelalea kutegemea Practical inayotokana na hiari ya mtu mwingine na kujiwekea guarantee ya maisha yako binafsi.Sawa mtaalamu, huu ni ushuru na ni theoly zaidi uje kwenye practical sasa ndio utaona mambo yake
Mbona kwenye avatar unafurahi?Nilikuwa nashangaa mtu akililia, yamenikuta hadi nahisi mwili unawaka moto .. check backup zote hazijafikia kiwango cha namba moja wao.. kujifariji kupitia backup lakini wapiiii maumivu yapo pale pale dah! ama kweli backup sio mkombozi.