Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Maisha yanabadirika, nyie wagumu ndio huwa mnavurygwa kweli kweli.. bora sie soft soft
Yaani mtu unakuwa soft na vitu vya kijinga useme bora?.

Endelea kupambana na "ULAINI" nafikiri upo kwenye hatua kuelekea ukomavu utakomaa tuu ...
 
Yaani mtu unakuwa soft na vitu vya kijinga useme bora?.

Endelea kupambana na "ULAINI" nafikiri upo kwenye hatua kuelekea ukomavu utakomaa tuu ...
Watu kama nyie ndio laini sanaaa, nyuma ya keyboard mnajiona miamba kumbe wepesi tu kama upepo
 
Back
Top Bottom