Sikuwahi kuamini Simba tulifungwa kihalali zile 5 ila baada ya mechi ya leo nimeamini

Nawaomba Yanga Africa akamgonge Al ahly Cairo ata zaidi ya hizo itapendeza zaidi πŸ’
 
ni utopolo tu wanaweza wakawezesha hao wahuni watoke, zile goli 5 ilikua kidogo tu wahuni waondoshwe ,,
Subiri mwezi wa nne mkuu zile tano mbona chache sana Yanga wakiamua jambo lao
 
πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…