Sikuwahi kuamini Simba tulifungwa kihalali zile 5 ila baada ya mechi ya leo nimeamini

Sikuwahi kuamini Simba tulifungwa kihalali zile 5 ila baada ya mechi ya leo nimeamini

Bila unafiki wowote naomba niwapongeze sana kwa kikosi bora na uongozi wa watu wenye maono.

Ninaomba radhi kwa maneno mabaya niliyowahi kusema juu yenu nikiamini kuna michezo isiyo ya kimichezo mnaifanya ili kushinda.
Lakini sasa baada ya mechi ya leo sina sababu yoyote ya kutoamini ninyi Yanga ni bora sana.
Mna haki ya kuzifunga goli 5 tano timu za ligi yetu.Sisi Simba mmetuonesha tulivyo na viongozi wahuni kwa sasa
Nawaomba Yanga Africa akamgonge Al ahly Cairo ata zaidi ya hizo itapendeza zaidi 🐒
 
ni utopolo tu wanaweza wakawezesha hao wahuni watoke, zile goli 5 ilikua kidogo tu wahuni waondoshwe ,,
Subiri mwezi wa nne mkuu zile tano mbona chache sana Yanga wakiamua jambo lao
 
Back
Top Bottom