Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushindi magoli leo umefurahi balaa
Nawaomba Yanga Africa akamgonge Al ahly Cairo ata zaidi ya hizo itapendeza zaidi 🐒Bila unafiki wowote naomba niwapongeze sana kwa kikosi bora na uongozi wa watu wenye maono.
Ninaomba radhi kwa maneno mabaya niliyowahi kusema juu yenu nikiamini kuna michezo isiyo ya kimichezo mnaifanya ili kushinda.
Lakini sasa baada ya mechi ya leo sina sababu yoyote ya kutoamini ninyi Yanga ni bora sana.
Mna haki ya kuzifunga goli 5 tano timu za ligi yetu.Sisi Simba mmetuonesha tulivyo na viongozi wahuni kwa sasa
Nini tena shida
Kabisa wakija na mahasira yao sijui wanajikuta sana . naogopa siku hiyo nyieHawa mbwa wanaweza hata kutupiga 7.... Kuna mengi ya kujifunza kwa utopolo ya sasa...
Basi vizuri hapo sawaAmna shida usijali
Nina wasi wasi mzunguko wa pili atakula goli ambazo hakuna timu imeshawahi kufungwa kwenye ligi hii.Dawa yao IHEFU
Subiri mwezi wa nne mkuu zile tano mbona chache sana Yanga wakiamua jambo laoni utopolo tu wanaweza wakawezesha hao wahuni watoke, zile goli 5 ilikua kidogo tu wahuni waondoshwe ,,
Hiyo lazima, madelu ndiye mmiliki halali wa ihefuNina wasi wasi mzunguko wa pili atakula goli ambazo hakuna timu imeshawahi kufungwa kwenye ligi hii.