makutupora
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 2,089
- 4,086
C
Nawapa watu chai wale ambao hawajafunga mkuu 😂Kwa nini mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawapa watu chai wale ambao hawajafunga mkuu 😂Kwa nini mkuu?
Au yeye aliamua kubadili dini ukubwani ... Akija utaniambia nije nimsalimieMimi mwenyewe nilishanga bora huyo wako amechanganya damu labda na wachaga nk ila mimi nimekutana na mzaramo halisi wa baba mzaramo na mama mzaramo ila ni mkisto ..ikabidi nimuulize kuwa sijawai kusikia mzaramo mkristo siku akija nitamuuliza vizuri imekuwaje ni mkristo
Ukienda Rumi, ishi kama warumi, vinginevyo utakosa vya warumi..!!!Halooo uko uzaramuni wakatoliki ndo waliweka makazi miaka iyoo kuna majengo ya zamani unaambiwa apo ilikua ili usome lazima wakubadili dini ndo uandikishwe shule.
Sio kwamba amechanganya inaweza ikawa aliwahi kuishi huko uchaggani kwa hio anakua anafanana nao meno yanakua na gold za kutosha, sasa sikumchimbua zaidi kuelewa ilikuajekuajeMimi mwenyewe nilishanga bora huyo wako amechanganya damu labda na wachaga nk ila mimi nimekutana na mzaramo halisi wa baba mzaramo na mama mzaramo ila ni mkisto ..ikabidi nimuulize kuwa sijawai kusikia mzaramo mkristo siku akija nitamuuliza vizuri imekuwaje ni mkristo
huo ni mvao wa kizanzibari, mtu akiona anadhani ni mvao wa kiislam, ila utamaduni wa kinzibari na kiislam umechanganyika na kuwa kitu kimoja kuutenganisha ni ngumuHalafu wale wa Unguja, kuna lile kanisa la ST Joseph Zanzibar (minara miwili) karibu na posta ya kwanza Zenji, (nadhani yale maeneo ni stone town) wanaenda kusali wakiwa wamevaa kama wavaavyo waislamu
Hahaha unamaanisha waumini wanavaa kibalaghashia kabisa na majuba na kanzu
Halafu wale wa Unguja, kuna lile kanisa la ST Joseph Zanzibar (minara miwili) karibu na posta ya kwanza Zenji, (nadhani yale maeneo ni stone town) wanaenda kusali wakiwa wamevaa kama wavaavyo waislamu
Wewe una uelewa mdogo sana Yaelekea.Sikuwahi kufikiria hilo kabisa, kwa hio wapo walaohama uislaamu wakaingia ukristu ndipo Wazaramu wakaanza kua Wakristu maana imenishangaza nilipigwa bumbuwazi mpaka nikaulizwa nini unashangaa
Ni mnyakyusa kabisakwa kweli sijui anatokea kabila gani zaidi ya kuona anatoka DMP
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kuu.
Mimi hapa nimezaliwa mjini Daslamu miaka mingi nyuma kabla ya mwaka 2000, kwa mazingira niliyokulia na watu wengi tulioishi nao ni Wazarumu. Lakini cha kushangaza sikuwahi kuona Mzaramu Mkirstu wengi tulioishi nao mpaka leo ni Waislamu, hii ikanipelekea kujua kwamba hakuna Mzaramu Mkristu.
Sasa cha kushangaza Jana katika pitapita zangu za huku na kule nikakumbana na Bidada mmoja hivi mrembo amenyooka nikamuelewa tukaanza maongezi ya hapa na pale kuchombezana tulipofika kwenye kujua yeye kabila gani akasema Mzaramu ila ukimuangalia ni km Mchagga wa Marangu maana meno yameliwa na kutu, nikashtuka nilipouliza dini ndio nikashtuka zaidi akasema yeye ni Mkristu.
Hivi weewe pia ulikua km mimi ukiamini kwamba hakuna Wazaramu Wakristu yaan Wazaramu wote ni Waislamu?
Kwarezima njema wakuu.
Msiache kufunga na kwenda kupakaa majivu.
Hapa nimekuelewa vizuri mkuuHakuna mahali ambako hakuna wakristo. Yesu alisema nendeni Duniani kote, mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la BABA, na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU. Na akaongeza kuwa hakuna mtu atakayeufikia ufalme wa mbingu bila ya kuzaliwa kwa mara ya pili, kwa maji na kwa ROHO MTAKATIFU.
Hakuna kabila lilitengwa kuufikia ufalme wa mbingu. Na neno la Mungu kamwe hakuna wa kulizuia, ndiyo maana katikati ya wasiomwamini Kristo, lazima utawakuta wakristo.
Fikiria nchi kama China yenye dini yake ya asili, ina wakristo zaidi ya milioni 60.
What is the fastest growing religion in China?
Christianity has grown rapidly, reaching 67 million people.
Asante sana![]()
49 Reaktionen · 27 Mal geteilt | TUONYESHE YESU TWATAKA TUMUONE ......WANAKWAYA HAWA WAMEBARIKI MAELFU YA WATU KUTOKANA NA MUONEKANO WA MAVAZI YAO......KWAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UKIRI YESU NI BWANA | Atuganile Mwakosya
TUONYESHE YESU TWATAKA TUMUONE ......WANAKWAYA HAWA WAMEBARIKI MAELFU YA WATU KUTOKANA NA MUONEKANO WA MAVAZI YAO......KWAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UKIRI YESU NI BWANA.www.facebook.com
![]()
49 Reaktionen · 27 Mal geteilt | TUONYESHE YESU TWATAKA TUMUONE ......WANAKWAYA HAWA WAMEBARIKI MAELFU YA WATU KUTOKANA NA MUONEKANO WA MAVAZI YAO......KWAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UKIRI YESU NI BWANA | Atuganile Mwakosya
TUONYESHE YESU TWATAKA TUMUONE ......WANAKWAYA HAWA WAMEBARIKI MAELFU YA WATU KUTOKANA NA MUONEKANO WA MAVAZI YAO......KWAKE KILA GOTI LITAPIGWA NA KILA ULIMI UKIRI YESU NI BWANA.www.facebook.com