Sikuwahi kujua kama kuna Wazaramo ambao ni Wakristu

Au yeye aliamua kubadili dini ukubwani ... Akija utaniambia nije nimsalimie
 
Sio kwamba amechanganya inaweza ikawa aliwahi kuishi huko uchaggani kwa hio anakua anafanana nao meno yanakua na gold za kutosha, sasa sikumchimbua zaidi kuelewa ilikuajekuaje
 
Halafu wale wa Unguja, kuna lile kanisa la ST Joseph Zanzibar (minara miwili) karibu na posta ya kwanza Zenji, (nadhani yale maeneo ni stone town) wanaenda kusali wakiwa wamevaa kama wavaavyo waislamu
huo ni mvao wa kizanzibari, mtu akiona anadhani ni mvao wa kiislam, ila utamaduni wa kinzibari na kiislam umechanganyika na kuwa kitu kimoja kuutenganisha ni ngumu
 
Hahaha unamaanisha waumini wanavaa kibalaghashia kabisa na majuba na kanzu
 
Halafu wale wa Unguja, kuna lile kanisa la ST Joseph Zanzibar (minara miwili) karibu na posta ya kwanza Zenji, (nadhani yale maeneo ni stone town) wanaenda kusali wakiwa wamevaa kama wavaavyo waislamu

 
Sikuwahi kufikiria hilo kabisa, kwa hio wapo walaohama uislaamu wakaingia ukristu ndipo Wazaramu wakaanza kua Wakristu maana imenishangaza nilipigwa bumbuwazi mpaka nikaulizwa nini unashangaa
Wewe una uelewa mdogo sana Yaelekea.
Sasa kabila na dini vinahusikaje?
Kwa hiyo na mimi nikikuambia kuwa kuna wazaramo wapagani utaendelea kushangaa?
 
Si vibaya watanzania kujuana dini na imani zetu. Kuna sababu za kueleweka kwa nini makabila fulani wengi ni dini au dhehebu moja tu. Kuna wengine hawana dini kabisa
 

Hakuna mahali ambako hakuna wakristo. Yesu alisema nendeni Duniani kote, mkawafanye watu kuwa wanafunzi wangu, mkiwabatiza kwa jina la BABA, na la MWANA na la ROHO MTAKATIFU. Na akaongeza kuwa hakuna mtu atakayeufikia ufalme wa mbingu bila ya kuzaliwa kwa mara ya pili, kwa maji na kwa ROHO MTAKATIFU.

Hakuna kabila lilitengwa kuufikia ufalme wa mbingu. Na neno la Mungu kamwe hakuna wa kulizuia, ndiyo maana katikati ya wasiomwamini Kristo, lazima utawakuta wakristo.

Fikiria nchi kama China yenye dini yake ya asili, ina wakristo zaidi ya milioni 60.

What is the fastest growing religion in China?

Christianity has grown rapidly, reaching 67 million people.
 
Hapa nimekuelewa vizuri mkuu
 
Asante sana

CC ndege JOHN
 
Binafsi nilifikiri waha ni waislamu tu.

Nimekutana na waha wengi kwa sasa ambao ni wakristu tena kwa kuzaliwa hadi nikastaajabu.
 
Mkuu Bueno huyo binti ni mwislamu ila baada ya mfungo mkali kuanza alibadili jina na kukudanganya kuwa ni mkristo. Hata jamaa yangu Juma alibadili jina na kijiita Yekonia kisa mfungo.

Amini usiamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…