OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake ni wa hovyo. Ahmed anazungumzia teams huku anasifia club yake. Huyu Azam anazungumzia mambo binafsi ya Ahmed na club yake.
Kiufupi Zacharia hafuatiliwi tu,lakini nimeona ni mtu wa hovyo kama Haji Manara.
Hawa wasemaji sijui kama wanapewa job description. Sijui vigezo gani wanatumia kuwapata watu hawa.