OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ni boss wake wa zamani au mmesahau Ahmed Ally mmemtoa wapi?Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake ni wa hovyo. Ahmed anazungumzia teams huku anasifia club yake. Huyu Azam anazungumzia mambo binafsi ya Ahmed na club yake.
Kiufupi Zacharia hafuatiliwi tu,lakini nimeona ni mtu wa hovyo kama Haji Manara.
Hawa wasemaji sijui kama wanapewa job description. Sijui vigezo gani wanatumia kuwapata watu hawa.
Kwahivyo Ahmed Ally ametoka kwa Zakaria? Na hajatoka Azam TVNi boss wake wa zamani au mmesahau Ahmed Ally mmemtoa wapi?
Zaka za kazi au Zakaria kabla ya kuajiriwa hapo Azam fc alikuwa Azam tv idara ya michezo pamoja na Ahmed AllyKwahivyo Ahmed Ally ametoka kwa Zakaria? Na hajatoka Azam TV
Na hata tukienda na uelewa wako hivi unadhani anayefanya kazi Azam FC ndiye huyohuyo anafanya kazi Azam TV?
Ni boss wake wa zamani au mmesahau Ahmed Ally mmemtoa wapi?
Ni mtu wa ovyo Kama ulivyo wewe, unamlalamikia kwamba anampangia Ahmed Ali cha kuzungumza wakati huo huo wewe unampangia cha kuzungumza?? Maneno yake yamekugusa ndo unakuja kulia kulia apa!Ninaangalia wasemaji wa Simba Sc na Azam wakizungumzia mechi ya kesho kombe la mapinduzi.
Huyu Msemaji wa Azam nadhani anaitwa somebody Zacharia anazungumza kama mvuta bangi. Anampangia Ahmed Ally cha kuzungumza. Anamkatiza Ahmed kuzungumza. Anajitahidi kuweka utani wa jadi lakini utani wake ni wa hovyo. Ahmed anazungumzia teams huku anasifia club yake. Huyu Azam anazungumzia mambo binafsi ya Ahmed na club yake.
Kiufupi Zacharia hafuatiliwi tu,lakini nimeona ni mtu wa hovyo kama Haji Manara.
Hawa wasemaji sijui kama wanapewa job description. Sijui vigezo gani wanatumia kuwapata watu hawa.
iko hivi, thabit zakaria kabla hajahamia azam fc, alikuwa producer azam tv, wakati huo ahmed ally alikuwa ni mtangazaji azamtv.Kwahivyo Ahmed Ally ametoka kwa Zakaria? Na hajatoka Azam TV
Na hata tukienda na uelewa wako hivi unadhani anayefanya kazi Azam FC ndiye huyohuyo anafanya kazi Azam TV?