Sikuwahi kujua kuna skin taiti za kiume

Sikuwahi kujua kuna skin taiti za kiume

Asante Rayvanny kwa kunifumbua macho. Ila yaliyomo yamo kweli shogaangu Donatila ? Mbona haijajichora?

View attachment 783397
Skin tight za kiume zipo ila huku kiumeni zimebadilishwa jina zinajulikana kama tight muscels pants,ila sio kama hiyo aliyovaa huyo jamaa hapo kwa picha, mara nyingi zinatumika katikaa michezo kama kukimbia,kuogelea,wanyanyua vitu vizito nk
 
Wanaume wa dar ni shida mno mzigo hamna kabisa kabisa hapo
 
32918584_10156649705073598_1613223762583355392_n.jpg
 
Back
Top Bottom