Sikuwahi kujua kuna skin taiti za kiume

Sikuwahi kujua kuna skin taiti za kiume

Skin tight za kiume zipo ila huku kiumeni zimebadilishwa jina zinajulikana kama tight muscels pants,ila sio kama hiyo aliyovaa huyo jamaa hapo kwa picha, mara nyingi zinatumika katikaa michezo kama kukimbia,kuogelea,wanyanyua vitu vizito nk
Kuendesha baiskeli, kuvaa ndani ya bukta ya kucheza soka n.k
 
Back
Top Bottom