Ndondombi Mulin
JF-Expert Member
- Mar 13, 2016
- 413
- 1,868
Umewahi kufaidika chochote na hii miradi ya ccm ? au ndio nyie chawa mnaozindua uchawa wenu kesho ?CCM siyo kama CHADEMA inayomiliki chuo cha matusi na uzushi
Chadema wanamiliki mashamba Mkoa wa Pwani na Morogoro, NCCR juzi walikuwa wanagombania shamba Bagamoyo, Mbatia alilinywaNdio unajua leo mzee! CCM aibu hawana.
Sana tu- mkutano mkuu wa CCM taifa hatukuchangishwa kama CHADEMA ianavyofanya wala HATUKUOMBA fedha kutoka chama cha CDU cha Ujerumani kama CHADEMA wanavyofanya; watunmishi wetu wote wanalipwa mshahara hawajitolei kama nyie KUPE wa CHADEMAUmewahi kufaidika chochote na hii miradi ya ccm ? au ndio nyie chawa mnaozindua uchawa wenu kesho ?
Mgodi ni mali ya CCM hazina zinaenda kodi anazolipa CCMChama kinaweza kuwa na vitega uchumi kama majumba, nk
Ila kwa ccm kumiliki mgodi!! hapa tumepigwa kabisa, maana mapato ya mgodi yanaenda kwenye chama sio kwenye mfuko wa hazina.
Hivi Kuna waziri anaweza aka muhoji mkurugenzi wa hiyo kampuni ya mgodi ya CCM?
Ccm haina mradi unaomiliki bali ina miradi iliyokwapua kwa wananchi. Mwaka 1992, ilitakiwa mali zote za chama ambapo kwa wakati huo chama na serikali havikutenganishwa irudishwe serikalini.CCM ni zaidi ya Chama cha siasa! CCM ina miliki makampuni mengi mno siyo JITEGEMEE tu!
Wakati Vyama vingine mkipigania Uhuru wa mikutano ya hadhara ya kupiga porojo na maandamano ya hovyo! CCM wako kazini!
UNACHUKI, ROHO MBAYA,NA AKILI MBOVUCcm haina mradi unaomiliki bali ina miradi iliyokwapua kwa wananchi. Mwaka 1992, ilitakiwa mali zote za chama ambapo kwa wakati huo chama na serikali havikutenganishwa irudishwe serikalini.
Wewe huna akili ambapo siyo tatizo kubwa! Tatizo kubwa ni kwamba hujui kwamba huna akili!Ccm haina mradi unaomiliki bali ina miradi iliyokwapua kwa wananchi. Mwaka 1992, ilitakiwa mali zote za chama ambapo kwa wakati huo chama na serikali havikutenganishwa irudishwe serikalini.
Kwani tayari umesha kabidhiwa uchawi mkuu hapo chamani kwenu,🤔CCM siyo kama CHADEMA inayomiliki chuo cha matusi na uzushi