Sikuwahi kujua kwa nini mashabiki wa Simba tunaitwa mbumbumbu ila kwa wanavyoshangilia usajili, naanza kuona shida ilipo

Sikuwahi kujua kwa nini mashabiki wa Simba tunaitwa mbumbumbu ila kwa wanavyoshangilia usajili, naanza kuona shida ilipo

Kila kitu na muda.
Kwaiyo muda wote tuongelee siasa tu mkuu kweli?
Wacha watu wataniane wakipoa watazikuta hizo tozo
 
Usitupangie cha kufurahi...kaungane na utopolo mumshangalie dubela na chamachama...
 
Pole kwa kuumizwa na vitu vidogo vidogo. Yaani mashabiki kufurahia usajili ndio umekereka hadi kuanzisha uzi?
Mnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?
 
Mnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?
Wee nae nani kakwambia tuna mtaka huyo Chama...chama lazima angeondoka tuu iwe kipindi hiki au kipindi kingine kile...huyo sio club kwamba itaishi milele....
 
Mnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?
Kama lengo la usajili ni kupiga mshono, basi mishono ni mingi mnaweza kuipiga tu, maana kuna Jobe na Ntibanzokiza, mnaweza kutupiga mishono pia
 
Back
Top Bottom