Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukitaka kuwajua watanzania na akili zao watazame HAWA uliowataja.Mashabiki wa Simba na Yanga ni mizoga
Pambafuuuuu....🙂🙂Mashabiki wa Simba na Yanga ni mizoga
Mnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?Pole kwa kuumizwa na vitu vidogo vidogo. Yaani mashabiki kufurahia usajili ndio umekereka hadi kuanzisha uzi?
Pole sana mamaaPambafuuuuu....🙂🙂
Wee nae nani kakwambia tuna mtaka huyo Chama...chama lazima angeondoka tuu iwe kipindi hiki au kipindi kingine kile...huyo sio club kwamba itaishi milele....Mnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?
Kama lengo la usajili ni kupiga mshono, basi mishono ni mingi mnaweza kuipiga tu, maana kuna Jobe na Ntibanzokiza, mnaweza kutupiga mishono piaMnajifariji baada ya kupigwa kwenye mshono kwa kuondoka kwa chama. Sasa mnashangilia usajili gani?