Mmh mfumo wa siku hizi ni kwamba chuoni mnasaidi na kuna Afisa mikopo,tofauti na zamani walikuwa wanatuma moja kwa moja kwenye akaunti.
Nakushauri wasiliana nao,au wasiliana na chuo kama kuna uwezekano wa kukuruhusu kuhairisha mwaka harafu fee iwe inalipwa ili ukienda usilipe tena.
Bodi pia watakuwa wanakulipia ada,sasa wewe ukienda pale tofauti na muda wa mkataba utajilipia jomba.