Sikwenda chuo lakini nimewekewa boom

Sikwenda chuo lakini nimewekewa boom

...lakini itakuwaje nikirudi chuo?...na unaweza nisaidia labda ilikuwaje mpaka nkawekea pesa bla ya mm kusain?...samahan lakn

ile kusign haina maana ndo wanapitia jina hadi jina ni kupoteza jina tu na incase any thing happen... ukija kurudi chuo kuna mawili kukosa mkopo kabisa..... alafu ukisema utoe taarifa bodi wakutoe kwenye huo mchakato kuja kurudishwa tena ni issue afu suala la ada nalo ni issue pia jaribu kuona utawala wa chuoni kwako hasa kitengo cha mikopo uone wanakushauri nini?
 
Imekuwje pesa imeingia kwa account yako bila kusaini kwenye chuo husika hebu tuwekee hiyo bank statement
 
Mmh mfumo wa siku hizi ni kwamba chuoni mnasaidi na kuna Afisa mikopo,tofauti na zamani walikuwa wanatuma moja kwa moja kwenye akaunti.
Nakushauri wasiliana nao,au wasiliana na chuo kama kuna uwezekano wa kukuruhusu kuhairisha mwaka harafu fee iwe inalipwa ili ukienda usilipe tena.
Bodi pia watakuwa wanakulipia ada,sasa wewe ukienda pale tofauti na muda wa mkataba utajilipia jomba.
 
We chukua pesa hiyo unauliza maswali tenaaa
 
we chalii mleta maada narudia tena..nipm no yako then nkupe first hand experience fasta!
 
Back
Top Bottom