Silaha ambazo unaweza tumia

Silaha ambazo unaweza tumia

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Nikuambie kitu wewe usiyemwamini Mungu, kwa kweli Mungu anazo silaha nyingi sana za kumnyamazisha mwanadamu mkorofi...

Maji (mafuriko)
Hewa(kimbunga)
Chakula(sumu)
Njaa(ukame)
Nk...

Zote hizi ni silaha zake, aligeuza bahari ya sham ikawameza Wamisri.

Sasa basi unapaswa uwe makini, hata kwikwi ni silaha hatari sana
emoji120.png
🏾
 
Back
Top Bottom