PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwamba unaoga dawa ili ukipanda jukwaani hata ukitema pumba watu wanaona umetema mchele wa kyela au sio?. Kumbe kuna watu wanateseka sana ila hawasemi🤣🤣🤣🤣🤣
CCM ndiyo mambo yao, hujiulizi kwanini waganga wa jadi wamejaa Dar na Dom?
 
Hapana, kuchukua na kuweka ndio kazi ya mpiga kura,

Wanaosimamia uchaguzi kazi yao ni kuhesabu na kutoa matokeo.

No!, zinahesabiwa!.
P
Ninaona hujawahi kufanya hiyo kazi ndiomaana hujui uchafu wa tume,lakini umeshindwa kukumbuka hata zile kura fake zilizokamatwa mikononi mwa watu wa tume na Halima mdee kwenye jimbo la ubungo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…