super hero1
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 2,339
- 1,888
Mbona kipindi cha chaguzi hatuwaoni mkiwa na uchungu wa hivi vituoni???It's pathetic what hunger can do to one's mind but it is even more pathetic that this comment is coming from you.
Mbona kipindi cha chaguzi hatuwaoni mkiwa na uchungu wa hivi vituoni???It's pathetic what hunger can do to one's mind but it is even more pathetic that this comment is coming from you.
Sina tatizo wewe kuniona kama chizi, as long as nilichosema ni ukweli mtupu!.We mzee kumbe uchizi umekuanza uzeeni
Mkuu Pascal, kwasasa inaweza kuonekana ni kitu imaginary Kwa wengi lakini Kwa nguvu ya umma na wananchi wakiielewa vizuri na wakipata muamko hakika hizi reform zinaweza kufanyikaHuu ni utopia!.
P
Lets hope for the best, kama tumetoka vita vya Kagera 1979 tukafanya uchaguzi 1980, tukatoka kwenye corona 2019, 2020 tukafanya uchaguzi, TAL na Chadema watafanya nini kizuiaMkuu Pascal, kwasasa inaweza kuonekana ni kitu imaginary Kwa wengi lakini Kwa nguvu ya umma na wananchi wakiielewa vizuri na wakipata muamko hakika hizi reform zinaweza kufanyika
Lissu anairekebisha Tume ya Uchaguzi kwanza halafu ndio ajitose.Tatizo saa hizi watu wanajipanga, yeye anacheza makida makida!.
P
Akijitosa wakati zoezi la uboreshaji daftari limekwisha, hao watu wa kumpigia kura, watoke wapi?.Lissu anairekebisha Tume ya Uchaguzi kwanza halafu ndio ajitose.
Tume ikiwa HURU inamaana hata hili daftari lenye majina hewa ya wapigakura litabidi kufanyiwa marekebisho sijui kama umeziskia HOJA za Lissu au bado unaziita "Utopian Politics"?Akijitosa wakati zoezi la uboreshaji daftari limekwisha, hao watu wa kumpigia kura, watoke wapi?.
P
Sasa unashindwaje kujua kuwa reforms zikifanyika pia zitasababisha pia daftari la kura kuandaliwa upya?Akijitosa wakati zoezi la uboreshaji daftari limekwisha, hao watu wa kumpigia kura, watoke wapi?.
P
Ni kweli katika kapa, mimi ni kati ya watu waliokielewa vizuri na daima nakuelewa,unapotumia DHIHAKA na ucheshi yaani SATIRE, na unapotumia lugha wazi isiyo ya mficho!!Sio msomi tuu wa sheria LL.B (hons)ya UDSM, bali pia ni mwana fasihi, naomba nikupe pole,andiko langu umetoka kapa!,nil!。
P
Mawalaka waweke Mfumo au Tool itakayoweza kuhesabu watu waliofika physically kwenye kituo husika cha kupiga kura kisha wana tally na idadi ya kura zilizopigwa. Vikitofautiana kati ya idadi ya watu waliofika dhidi ya kura au vice versa basi hizo kura za kituo husika zisichukuliwe na zichukuliwe kama zimeharibika.Propaganda ya wa pinzani kuleta vita ilikuwa inatumiwa zamani na CCM baada ya wananchi wengi kuelimika CCM walisha acha kuitumia,siku hizi wanapiga kura nje ya vituo kabla ya siku ya kupiga kura,Siku ya kupiga kura inapofika wanapewa wasimamizi wa vituo kutoka tume ya uchaguzi na polisi ambao wanazijaza kwenye masanduku ya kupigia kura wakati kura zinaendelea kupigwa.
Endelea tuu kula mtori, nyama utazikuta chini!. Nakuomba nikuhakikishie uchaguzi mkuu hautosogezwa hata siku moja mbele!, hii no election ya Chadema ni utopia tuu!, Chadema wangekuwa na akili, wakati waki push for reforms, at the same time wangewahamasisha wafuasi wake na washabiki wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, ili kukitokea reforms, wautumie wingi wao to vote out CCM!. Huu utopia wa No election, is not gonna work!, Chadema will lose big time!.Sasa unashindwaje kujua kuwa reforms zikifanyika pia zitasababisha pia daftari la kura kuandaliwa upya?
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea sasa ni mchakato wa kutimiza tuu kukamilisha taratibu na kusubiria siku ya siku tarehe ifike, mtu ni unakwenda tuu kituoni, kwa ajili ya
“unachukua...
unaweka...
....“
Malizia mwenyewe!
P
Kwamba unaoga dawa ili ukipanda jukwaani hata ukitema pumba watu wanaona umetema mchele wa kyela au sio?. Kumbe kuna watu wanateseka sana ila hawasemi🤣🤣🤣🤣🤣chama kimejaa watu washirikina haswa
Sasa wewe kwa akili ya Lissu na wafuasi wake unawaona wako sawa?Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Tena ujumbe wa mada hii uliisha mfikia mlengwa, hivyo japo title ya Dr ni VP, but he is the one who will be running the show!.Pasco, you're defkwenye y right. Nimeona msafara na protocol ya Nchimbi Ruvuma. He's full guarded with vice presidential security package. Kweli mambo yalikwisha pale Dodoma.
Hayo uyasemayo yanaeleweka vyema sana ukiwambia wajukuu zako.Endelea tuu kula mtori, nyama utazikuta chini!. Nakuomba nikuhakikishie uchaguzi mkuu hautosogezwa hata siku moja mbele!, hii no election ya Chadema ni utopia tuu!, Chadema wangekuwa na akili, wakati waki push for reforms, at the same time wangewahamasisha wafuasi wake na washabiki wake kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, ili kukitokea reforms, wautumie wingi wao to vote out CCM!. Huu utopia wa No election, is not gonna work!, Chadema will lose big time!.
P
Hakika nakubaiana na weweKuchukua na kuweka ni kazi ya tume wanaosimamia uchaguzi za wananchi zinatupwa jalalani.
Sahihi kabisa, sema huwa inachukua mda sana lakini lazima ifikeClass struggle itaamua, ccm hawez tawala milele, ogopa sana class struggle, mifumo mingi ya unyonyaj imeangushwa na class struggle, wanyonge wakishasema sasa inatosha, moto utawaka tu..!