PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

PreGE2025 Silaha hii wanaitumia CCM dhidi ya upinzani na imewapa ushindi 1995, 2000, 2005, 2010, 2015, 2020 na mwaka huu 2025 wanakwenda kuitumia tena

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Mzee mzima unakuwa chawa, ni aibu. Hivi akili yako ulimwuuzia nani?
 
Gentleman,
Ilani bora zaidi ya Uchaguzi ya CCM na utekelezaji wa ahadi kwa muaminifu mkubwa ndio pekee mambo yanayowafanya waTanzania wote kuipenda CCM, kuiamini na kuendelea kuipa dhamana ya kushika dola, kuunda serikali na kuongoza Taifa letu.

hivi gentleman,
kweli kabisa uende mbele za waTanzania waerevu, wachapakazi hodari, wanaofanya kazi na majukumu yao ya kujipatia kipato kwa amani, uje uwaambie eti no reform no elections, halafu wakuchague uwe kiongozi wao kweli?

yaan wache kazi zao wababaike na utapeli wako wa aina hiyo, surely?🤣
Umezungumza kinyume
 
Hii vita anapigana nani na nani na kwa nini?? Na kwa nini iwe vita baada ya ccm kushindwa na isiwe akishinda?
 
It's pathetic what hunger can do to one's mind but it is even more pathetic that this comment is coming from you.
Ni huzuni kwakweli, mtu anaejinasibu yeye ni mtu wa democrasia leo kaja na majibu mfuko wa Shati , delusional...
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Hii Kauli Uchaguzi Uliisha Dodoma Upi? Labda Wa CCM Tena Kwa Ghiriba, Dhulma
Uchaguzi Mkuu Ni October 2025 Bado Hali Tete Ndani Ya Kijani
Hakuna Kupita Bila Kupingwa
 
Na upinzani umeshindwa kujibu
Kushindwa kujibu kunatoa Tafsiri hasi na inadhibitisha ukweli wa uchungu wa mama aliouonyesha wakati anawaeleza jambo hilo.
Kitendo, cha upinzani kkushikwa na kigugumizi dhidi ya ukiukwaji wa maadili (Rejea mahojiano kati ya Suker wa BBC na Tundu Antipasu) ni ushahidi wa uwenda Upinzani una Nia ovu dhidi ya kizazi cheti cha Sasa na kijacho.
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Siyo urais tu Ubunge na udiwani hakuna chama chochote kwa mazingira haya unaweza kuishinda CCM hata kwa 1% tu ya kura. Na tumeona serikali za mitaa na sasa madiwani, wabunge na uraisi.
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Comment ya hovyo kabisa toka kwa mtu anaeheshimika

Hovyo hovyo hovyo

Ndo maana ulishindwa kuwashawishi wajumbe ukapata kura moja
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
Tundu Lissu anashinda kwa Tsunami sio landslide.
 
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
shetani huwa hana huruma! hana na hawezi kuwa na huruma.
 
Kwa upande wa urais, uchaguzi uliishamalizika pale Dodoma ile January, kinachoendelea ni kutimiza tuu taratibu, kusubiria tarehe ifike,
Unakwenda kituoni
unachukua...
unaweka...
....
Malizia mwenyewe!
P
We mzee kumbe uchizi umekuanza uzeeni
 
Sikumbuki tarehe ila ilikuwa kati ya mwezi wia 9 au wa 10 hivi 1995 nikiwa na miaka 8 hivi kwenye kitongoji chetu walikuja watu waliovaa nguo za kijani na njano wakitokea wilayani kuja kutuwekea muziki na kisha baadaye kuanza kuongea.
Wale watu nilikuja kuwakumbuka baadaye kidogo nilipokuwa . Ni viongozi wa CCM wilaya kwa ngazi tofauti.
Mama mmoja ambaye yuko hai mpaka sasa mweupe alipopewa mike kuongea alijifanya kuongea kwa uchungu sana kuwa watu wasipochagua CCM ikitokea vita watakaoteseka zaidi ni akina mama, watoto na wazee.
Hii silaha nimeona ikitumika kwenye kila kampeni.
Na upinzani umeshindwa kujibu ingawa majibu yake yalipaswa kuwa mepesi kabisa.
CCM ifike wakati muwahurumie wananchi.
Sasa silaha yao hiyo ya kizamani imepatiwa mwarobaini,wa kuidungua kabla hata haijarushwa.
 
CCM huwa wanatumia SILAHA zote , Uongo wa Amani, Kura feki,Kuzuia Mawakala wq Upinzani..dawa yao kwa sasa ni hiyo--NO REFORMS NO ELECTION
 
Sasa kwanin wanasijili vyama pinzan kama hawatak wapinzan kushika dola?
CCM wa kweli hataki kuachia kiti upinzani.
Kwa kuwa kikimponyoka itakuwa kazi kubwa kukirudisha.
Tukisema kiti sio uraisi tu,nikuanzia mjumbe wa mtaa,mwenyekiti wa mtaa,diwani wa kata,mbunge wa jimbo hadi Raisi wa nchi.
Siraha kubwa ya CCM anaeleweka vizuri kwa watu wa kawaida sana.Na watu hao ndio wanaojiandikisha kupiga kura na ndio wapiga kura.Kundi hilo likiongozwa na akina mama.
Safari hii ataongezea kanda ya kaskazini ambayo karibu miaka 20 ilikuwa ya upinzani.
 
Sure, kama hiyo ni silaha kwanini hawataki tume huru ya uchaguzi?
CCM siyo vilaza wanajua kutumia fursa kama hizo.
Mfumo wa utawala wa Tanzania ni kama wa chama kimmoja.
Ila watawala wanapeana vijiti isizidi miaka kumi kumi.Lakini Cameron Raisi Paul Bia nadhani anazaidi ya miaka 30 akiwa Raisi.
Na jirani zetu Mwamba Museveni na Kagame wana vipindi virefu.

Na huko Kenya wao wana seasonal grouping ya watu mashuhuri,na hao watu mashuhuri wanakuja na machawa wao.
Mwisho tukiona tunazenguana turudi officially chama kimmoja kama China,tutashindana humo humo bila kubaguana.
 
Back
Top Bottom