CCM siyo vilaza wanajua kutumia fursa kama hizo.
Mfumo wa utawala wa Tanzania ni kama wa chama kimmoja.
Ila watawala wanapeana vijiti isizidi miaka kumi kumi.Lakini Cameron Raisi Paul Bia nadhani anazaidi ya miaka 30 akiwa Raisi.
Na jirani zetu Mwamba Museveni na Kagame wana vipindi virefu.
Na huko Kenya wao wana seasonal grouping ya watu mashuhuri,na hao watu mashuhuri wanakuja na machawa wao.
Mwisho tukiona tunazenguana turudi officially chama kimmoja kama China,tutashindana humo humo bila kubaguana.